Mimi ni mmoja wa watu tusio amini kwenye uzushi wa mitandaoni. Lakini kwa hili nililosikia naona linahitaji ulitolee ufafanuzi wewe mwenyewe maana linaenda kukupoteza mazima katika siasa hadi...
Habari wanajamii.
Tangu Lissu atangaze Nia ya kugombea uenyekiti kumetokea kelele za kila aina. Mara ni kirusi ndani ya CHADEMA, mara anafadhiliwa na Msigwa, mara anampango wa kuhamia CCM nk...
Je hii ni haki? Ni sahihi wafungwa kukodishwa wakalime MASHAMBA ya vigogo wa nchi hii?je MALIPo wanayokodishiwa kama ng'ombe wa KULIMia mnayapokeaje? Ni mapato au?
Je yule mfungwa alie fia...
Kuelekea kuanza kwa zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura Mkoani Iringa imeelezwa kuwa kuna vituo vipya vipatavyo 140 vimeongezwa.
Taarifa iliyotolewa leo Desemba 15, 2024 na...
Kila siku wapinzani hasa wana CHADEMA huchukizwa pale viongozi wake wanapowekwa selo kwa makosa madogo madogo au kwa makosa ya kusingiziwa.
Lakini si mara nyingi tukiona wapinzani wakilaani...
Nizahiri sasa Tindu Lisu amejipanga na wafuasi wake wanaomuunga mkono iwe jua iwe mvua ni lazima agombee na awe mwenyekiti wa CHADEMA
Pia mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe naye...
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU NDG. SHEMSA MOHAMED ASHIRIKI HARAMBEE KANISA LA KKKT NA KUCHANGIA MILIONI 33.2
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed...
Mwenyekiti wa wakati wote na wakudumu wa Chama kikuu Cha Upinzani nchini Tanzania Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Aikael Mbowe huenda akang'atuka kwenye nafasi hiyo ya ngazi ya...
Kwa wale waliobahatika kusoma gazeti la Mwanahalisi la leo kwenye kichwa cha habari nanukuu" Askofu huyu katumwa na nani?" mwaandishi kaandika kuwa kikwete alinukuliwa kwenye mikutano yake ya...
Kampeni za Vyama vingine kumtaka Mbowe aendelee na Uongozi zilianza kitambo sana
Jaribu kufikiria Chadema hii yenye Watu kibao eti ni Mbowe na bintiye Nicole pekee ndio walifanikiwa kuvuka...
Tundu antipasi Lisu amekuwa mwiba na mkali kweli kweli kwenye siasa za Tanzania
Ukali wake huo mpaka rais wa nchi mama Samia Suluhu Hassani akaamuru SIMBA mmoja machachari mbugani kuitwa jina la...
Chadema ni Chama Cha mtaani Kwa sababu kina Mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa na hakina Halmashauri hata Moja inayoongoza
Sasa Mh Tundu Antipas Lisu aliyeongoza Taasisi kubwa kama TLS atashindwaje...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa...
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?
Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo...
Siasa za Tanzania na zile za South Africa zinaufanano kwa mbali hasa kwa vyama vya CHADEMA na EFF.
Mosi ni itikadi zao zilizojikita mizizi kwenye harakati za kutetea wanyonge.
Pili ni...
Tunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt...
Makosa ya CDM 2015 yamekitafuna sana chama. Si mbowe wala Lissu ambao wanajua wanachokitaka. Walichitufanyia 2015 kutuletea EL maumivu waliyotusababshia, Mungu tu ndo anajua.
Harakati ndani ya Chadema zinachangamka siku hadi siku..
CCM wamepuuza siasa za majadiliano na maridhiano ndani ya CDM na nje ya CDM..
Sio ACT wala vyama vidogo kwamba vinapatiwa ahueni...
Kuna mpango wa Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe wa kulipwa mamilioni ya fedha ili Viongozi wa Chadema waache kumsema Mr. Monduli kuwa ni fisadi.
Mhe. Zitto Kabwe anajitahidi kwa kila hali...
Wakuu,
Wananchi tuna amani, muda wote ni mwendo wa kububujikwa machozi ya furaha kwa nzuri anayofanya kipenzi chetu Mama Dokta (zitamke mara 9 sikumbuki namba yote) Kipenzi cha Wote Jemedari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.