Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya
Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu!
Kwa kifupi Time is best judge and it will tell!
Kikao kinaendelea Kwa...
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA.
Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na...
Hawa wanafuata mkumbo badala wafanye strategy kama wao sasa wanashangilia maandamano ya Kenya, yenu mliopanga tarehe 01/04/2017 yaliishia wapi?
Waganga njaa hawa, kwa kifupi hata Rutto atabaki...
Kuna vyama vya kuvipa Madaraka Ila siyo CHADEMA
1. Hii ilifaa aandike katibu, kuna hoja pia kua mmesusia chama mmemwachia Mrema.
2. Siku zote mnatuadress kwa press conference kwann hili...
Sote ni mashahidi kwamba Tundu Lisu ni mbinafsi mno. Hapendi, haheshimu wala kuzingatia dhana ya uwajibikaji wa pamoja ndani ya taasisi yake mwenyewe.
Ratiba za mkutano yake na hata contents za...
GT wa JF naomba mnisamehe kwa kuwaharibia mood zenu kwani kuna huu ufisadi wa mradi wa bilioni 150 ambao tunaambiwa kuwa JK ame sign huko USA
Sasa mkitaka kujua kama huu ni ufisadi wa kutisha...
Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe.
Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu...
Hii ni kauli isiyosahaulika toka Kwa Mwenyekiti wa 4 wa CCM na Rais wa awamu ya 4 wa Tanzania Dr Jakaya Mwisho Kikwete aliyoitoa mwaka 2010 kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huo.
Alitoa kauli hiyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Speaker Wa Bunge Mstaafu Mheshimiwa Job Ndugai Ameibukia Jiji La Tanga akiwa Ameongozana na Madiwani Mbalimbali kutoka halmashauri ya Wilaya ya Kongwa .
Ambapo yeye...
Kila siku mnazungumza mnadanganywa, ni hivi mazungumzo katika mambo ya Kijamii upende usipende ni lazima, niwape mfano, leo Mashariki ya Kati, Israel wanapiga na Palestina na Hezbollah, Watu kwa...
Bagonza akiwa amemkumbatia Lissu Kwenye Uwanja wa Kayanga, Karagwe, 2020. Kuhusu sababu mojawapo ya uzushi angalia tofauti kati ya urefu wa kidole cha pili na kidole cha nne, ambapo duara A ni...
Kiukweli mahudhurio ya Wananchi bila kujali dini zao Kwenye Mkesha wa Funga Mwaka " Chako ni Chako" pale Kwa Mtume na Nabii Mwamposa yameonyesha Wazi yeye ndiye Moyo wa Taifa hili Kwa sasa...
Haya ndio Maajabu ya Tanzania! Anaye enziwa Bibi Titi hata vipeperushi vyake Hakuna! ukiacha Bango la kuvutia watu ili waje kwa wingi
Hotuba zote zimejaa sifa kwa Mchengerwa, Chawa wote wa...
Tundu Lissu alipewa nafasi ya kugombea Urais wa JMT! kuna nafasi kubwa kama hiyo ndani ya nchi?
Then Unaponiambia kuwa Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama ambacho hakina hata wanachama 3M...
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo
Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje...
Hii ndio Taarifa mpya ambayo Chama hicho kimesambaza Duniani Kote leo hii
Je Na yeye anataka kutangaza nia ya Kugombea Uenyekiti?
Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika.
Habari ya shirika letu la ndege kuzuiwa kutumia anga la nchi za Ulaya ni habari kubwa sana. Kwa mshangao mkubwa sijaona wala kusikia chombo chochote cha habari cha ndani kuripoti habari hii. Kumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.