Habari za jumapili!
Lisu ni wale watu wasiouogopa ukweli. Watu hao huitwa Jasiri wa asili. Lisu hata akikosea yeye haoni tabu ukimchana makavu na hata yeye kujichana makavu kuwa amekosea. Huo...
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 14 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Vijana Kaskazini Unguja na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo...
Hata kwa maneno ya Governor wa Benki Kuu ya Tanzania kuwa dola itaanza kupanda tena kuanzia February 2025 unaweza kujua tu kwamba kila kitu kipo kwenye control. Wasilolijua watu wengi ni nani hasa...
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa...
Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa...
Wakuu,
Mjomba kasema Rufiji kuwa Jiji chini ya Mohamed Mchengerwa
==
Msanii na mwanaharakati maarufu, Mrisho Mpoto, amepongeza kasi ya maendeleo yanayofanyika katika Wilaya ya Rufiji chini ya...
Afrika kote tunafanana kwa tabia zetu za kizombi. Siasa Safi inawekwa Kapuni na wachache. Watu wanapiga bila kupingwa.
NB: poleni FRELIMO, SWAPO na Vyama vyote rafiki.
Katibu mkuu wa ACT Wazalendo Mh Ado Shaibu ametofautiana na Naibu Katibu mkuu wa Chadema Mh Benson Kigaila na kumuelimisha kuwa Chama Cha siasa siyo Mali ya Mtu Binafsi
Shaibu amesema Vyama vya...
Ansbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia.
Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana...
Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie
Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu...
Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
Tundu Lissu ni baba aambiliki nilimuonya hapa majuzi aache mission yake ya kukiua chama hajataka kusikia.
Sasa anaenda kufundishwa adabu na bingwa wa sayansi ya siasa za upinzani Aikael Mbowe...
If you happen to use a little brain you have to think critically, you can conclude that God did not put the criteria through which judgement will base.
No prerequisites and bases that if you do...
Askofu Dr Bagonza wa KKKT amewashangaa Chadema Kwa kuchafuana hadharani kisa Mwanachama mmoja katangaza Kugombea nafasi ya Mwenyekiti Freeman Mbowe aliyedumu Kwa miongo Miwili Madarakani
" Kama...
Mkuu wa Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila amesema Watu Wengi Walitaka mtume Mwamposa aondolewe pale Kawe
"Lakini Rais Samia alinituma nipeleke sadaka yake Kwa Mtume Mwamposa na kuniagiza nimwambie...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini amesema Wanasiasa wa Upinzani wasilewe Sifa na umaarufu kwani huko nyuma walikuwepo akina Lyatonga Mrema Lakini walipoishia kila mtu anajua
Lema ameuliza...
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii.
Amesema fedha zilizotengwa katika...
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.