Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Watawala wa Afrika wanadhani JWTZ ni Wanachama wa CCM. Watawala wanadhani JWTZ ipo kwaajili ya kuwalinda wabaki madarakani. Nawakumbusha tu. JWTZ ni Jeshi la wananchi wa Tanzania. Na wapiga kura...
1 Reactions
8 Replies
627 Views
Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Ikulu ya Dodoma imetekekezwa? Rais Samia anatumia zaidi ya Dar es Salaam au Tunguu Zanzibar. Je huu ni uungwana?
18 Reactions
120 Replies
5K Views
Moja ya agenda kuu ya Msomi Lissu ni kuhakiksha chama kinaendeshwa kama taasisi badala ya chama kutegemea mtu mmoja ambae kimsingi ni huyu Mwenyekiti wa sasa Mzee Mbowe. Kinachosikitisha ni...
2 Reactions
13 Replies
370 Views
CHADEMA mkimchagua Mbowe awe mwenyekiti tena tegemeeni uchaguzi wa 2025 kuwa kama wa 2024, 2020 na 2019. Mbowe hana mbinu mpya au hamasa ya kushawishi mabadiliko ya uchaguzi 2025, Lissu ndio mtu...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Aisee hii inanikimbusha wakati wa majadiliano ya wakandarasi wanajenga EACOP walisema watajenga vituo vya umeme wa Jua Ili kusukuma Mafuta Kwa upande wa Tanzania Kwa sababu hatuna umeme wa uhakika...
3 Reactions
12 Replies
591 Views
Hasara za wamangi (au viongozi wa kabila) zinaweza kuwa nyingi na zinaweza kuathiri jamii nzima. Hapa kuna baadhi ya hasara hizo: 1. Ukabila na Mgawanyiko - Wakati viongozi wanaposhughulikia...
0 Reactions
3 Replies
150 Views
Kuanzia mwanzoni Mheshimiwa Mbunge Dr Kigwangallah alifaa zaidi kuingia ulingoni huko WHO. 1. Mbunge, 2. Aliwahi kuwa Naibu Waziri (Afya), 2. Aliwahi kuwa Waziri Maliasili na Utalii. 3. Mgombea...
5 Reactions
16 Replies
451 Views
Wakuu. Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali hasa inayohusu uchumi. Mara kadhaa vyombo vya habari mbali mbali vimekuwa vikimualika Dr Bravious Kahyoza mchumi, ambaye kiukweli amekuwa...
3 Reactions
30 Replies
8K Views
Generali Ulimwengu amesema wanaosema Mbowe amekaa sana Madarakani Hawajui historia Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa CCM kuanzia 1954 hadi 1990 Ulimwengu amewataka watu wasome historia Generali...
8 Reactions
66 Replies
2K Views
Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (Building a Better Tomorrow -BBT) imeanza kuneemesha wanafuika wa programu hiyo kwa kuanza uvunaji wa zao la alizeti tarehe 19 Juni 2024 katika shamba la...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Uchaguzi wa viongozi wa vyama vya siasa na wale wa serikali una sheria, kanuni na taratibu zake ambazo zisipozingatiwa huweza kusababisha vurugu na kusambaratisha chama au nchi. Kwa ujumla...
3 Reactions
67 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson Mwansasu Mbunge wa Mbeya Mjini na Spaeker wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ambaye pia ndiye Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani na...
4 Reactions
133 Replies
3K Views
Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa Waziri wa...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku. Washiriki ni...
5 Reactions
18 Replies
616 Views
Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora...
10 Reactions
143 Replies
5K Views
Wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, Rais Magufuli aliahidi kumpa Tundu Lissu cheo serikalini kama akishinda. Binafsi naamini Rais Magufuli atatekeleza ahadi hiyo kwa Mhe. Lissu. Naamini Lissu...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Leo Watanzania ni wajasiri sana wa kuhoji na kukosoa kijasiri Kila kinachofanyika bila hofu wala uoga ,sio mitandaoni wala mitaani nguvu ya kuhoji na kukosoa inaongezeka. Nitakuwa mchoyo wa...
2 Reactions
5 Replies
390 Views
Dodoma haipit dakika 5 hujapishana na chuma V8 inakata mitaa, FULL AC. Kiwanda Kipo sehemu gani hapa Dodoma? *Tumeshindwa kabisa kuweka vipaumbele?
5 Reactions
11 Replies
671 Views
Mwenyekiti wa UDP Taifa Bw. John Cheyo amesema kuelekea mwaka 2050 anatamani Tanzania impate Rais 'Kichaa' atakayekuwa na ujasiri na nguvu ya kupambana na vitendo vya rushwa =============...
2 Reactions
11 Replies
327 Views
Back
Top Bottom