Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Vijana wa CHADEMA wakiongozwa na Yericko Nyerere wanasema Lissu hakupaswa kusema mapumgufu ya chama anayotaka kuyafanyia kazi. Wanadai watu wakijua uhuni ulio ndani ya chama watakimbia. Ni jambo...
2 Reactions
11 Replies
440 Views
Mwaka 2020 nilimpigia kura Lissu,sikumpigia Magufuli kwasababu aliminya sana demokrasia na alipendelea sana Geita na Wilaya ya Chato. Nilifikiri Lissu angeweza kutuvusha,angeweza kutupatia katiba...
7 Reactions
66 Replies
1K Views
Imeelezwa msibani Kwa Faustine Kuwa Tanzania itapeleka Mtu mwingine kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Africa na Rais ameahidi Serikali kumpigia kampeni Basdhi ya waombolezaji wakamtaja Dr...
12 Reactions
137 Replies
4K Views
LeoKweli said: Rostam Aziz ni mnyamwezi, Shangazi responded: Acha upumbavu! ni mnywamwezi kakwambia nani. Yeye ki ukweli ni raia wa Iran na Canada. Fuatilia mjomba. Rostam Vs Mengi...
7 Reactions
787 Replies
99K Views
Kwa maoni yangu naona CHADEMA inahitaji uongozi mpya kabisa. Naona watu wengi wanaangalia cheo Cha Mwenyekiti na kuacha kuangalia vyeo vingine. CHADEMA inahitaji Mwenyekiti mpya mwenye msimamo...
5 Reactions
11 Replies
393 Views
As I look at the ongoing crisis in Syria, I'm convinced that the only viable path forward is a three-state solution. This would allow the peaceful and productive communities of the Kurds and Druze...
2 Reactions
3 Replies
283 Views
Inajulikana wazi susi waafrica hatuna tunachojua zaidi ya kupas kwa ungo na ulozi mwingi. Nchi zetu tumeshindwa kuziendeleza mpaka Mungu anstucheka. Nahauri tumpe nchi Elon musk au tumpe Africa...
1 Reactions
2 Replies
145 Views
Awali ya yote napenda kusema mimi sio mwanachama wa CHADEMA lakini kama Mtaanzania na mwanadamu ninachoamini mimi ni kwamba Siasa ni sehemu ya maisha yangu. Nimekua mfuatiliaji wa mambo mengi ya...
2 Reactions
1 Replies
153 Views
UKWELI, HAKI, AKILI NA UPENDO(UTIBELI) NDIO MSINGI WA UTAWALA BORA NA SIASA SAFI ZA KULETA MAENDELEO YA KWELI (True Development) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maendeleo ya Kweli (True...
3 Reactions
3 Replies
228 Views
Hata ukiwaorodhesha hapa Wapambe wote wa Freeman Mbowe kasoro Wawili au Watatu tu Wana Njaa Kali sana Tunakoelekea Mbowe atakuja kujijutia mwenyewe kama Netanyahu wa Israel kwa sababu ya kutaka...
1 Reactions
14 Replies
672 Views
Wanaosema Lissu anakosa busara wanatumia kipimo au vigezo gani kupima busara ya mtu? Ili kutokaririshwa mambo kijuha tu au kama kasuku ni vyema wanaosema Lissu anakosa busara waseme mambo gani...
2 Reactions
3 Replies
133 Views
Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm. Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu...
3 Reactions
65 Replies
3K Views
Ilikuwa ni Mei 2011 kijana mdogo katika mji wa Deraa mji mdogo nchini Syria karibu na mpaka wa Jordan. Kama ilivyo tawala zaki imla kijana huyu mwenye umri wa miaka 13 alirudishwa kwa familia...
1 Reactions
5 Replies
484 Views
MIAKA 63 ya UHURU na 4R za Rais SAMIA Na MALICK MALIKI,Chamwino,DODOMA Nelson Mandela aliwahi kusema ‘’Fedha haziwezi kutuletea mafanikio,ila uhuru wa kuzitafuta ndiyo utakaotuletea maendeleo’’...
1 Reactions
14 Replies
310 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Kamati Kuu ya chama hicho itakutana katika kikao chake cha kawaida Jumamosi, tarehe 14 Desemba 2024, jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu...
16 Reactions
77 Replies
3K Views
Hii haijawahi kutokea kwenye Chama chochote cha Siasa Press ya Mwenyekiti huusisha mambo Yote ya Chadema Sasa nini kilisahaulika ambacho Mbowe kamtuma msaidizi wake mh Tundu Lisu akiongee Leo...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Mjadala ulioibuka baada ya Janabi kupendekezwa kuingia katika ushindani wa kugombea nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Africa ni muhimu ila umepotoka kiasi kikubwa kwa kushindwa kujikita katika...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Unaweza kukuta mchungaji Msigwa anaswali usiku na mchana Ili Mh Freeman Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti wa Chadema Project ya Msigwa Kwa sasa ni kumshambulia Mbowe na ndio inayompa ulaji hapo CCM...
2 Reactions
4 Replies
159 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe, anaendelea kuonyesha miujiza iliyokuwa kama haiwezekani kufanyika , anaendelea kukosha mioyo ya watanzania, anaendelea kugusa kila...
2 Reactions
26 Replies
964 Views
Taarifa nilizozikusanya kutoka kwa watu wa karibu sana na Mbowe zinasema hata ridhaa ya Lisu kuondoa kusudio lake la kugombea umakamu mwenyekiti lilikubaliwa na mwenyekiti Mbowe. Kwa hiyo ana...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom