Pamoja na umeme kuwa na ugagaziko (Fluctuations) lakini bado wingi wa umeme na ujazo wake kwa watanzania una utata.
Swali kwa CCM. Mpaka sasa bwawa la Mwalimu Nyerere linazalisha asilimia ngapi...
Tar. 28 mei 1992 wazee kadhaa wa kichaga wakiongozwa na Edwin Mtei na Fillimon Ndesamburo walisajili chama Cha siasa kikipewa jina la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
CHADEMA kiligombea nafasi...
Je mbowe kutogombea Mwaka 2020 ni kwasababu aliona Lissu anafaa? Au ni kwasababu ali Hofia nguvu ya Magufuli kwamba itakuwa kazi bure ngoja tuweke mgombea yeyote yule kukamilisha ratiba?
Iweje...
Benson Kigaila mume wa Kunti Majala Mbunge toka muungano wa Covid 19 na Katibu Mkuu wa nne ajae wa Freeman Mbowe endapo Mbowe atashinda Uchaguzi kwa mara nyingine ya nne ili kuongoza tena...
Ndiyo yule aliesema jua mvua Tanzania TLS Itapigania katiba mpya?
Ndiyo yule yule aliesema atainyoesha serakali nini TLS Tanzania hii?
Au huyu anaepiga madogo vyama vya upinzani kupitia account...
Kufutika ? jibu ni hapana ....CHADEMA haitafutika ila mpasuko wake kwa hizi tofauti za Mbowe na Lissu utakiporomosha sana na kwalo maana yake 2025 ELECTION Tanzania inaingia bila chama strong cha...
Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?
After all wote...
Habari wapendwa. Kama kawaida sisi mitaani kwetu tunaendelea kuchukua hatua madhubuti dhidi ya wenyeviti waliopachikwa. Sisi hatupigi mtu, isipokuwa yeye mwenyewe anaamua kuachia ngazi.
Njia...
Nilitarajia Chuo Kikuu cha SAUT ambacho kimetajwa sana katika mitandao kuhusu tukio la mmoja wa wanachuo, walau kiseme kaneno kamoja kuhusu jamii inayoishi hapo na maadili.
Labda pengine kitendo...
Urusi yaonesha nia ya miradi ya pamoja na Tanzania katika nishati, kilimo, utalii - waziri wa Russia
https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0
DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Urusi na Tanzania...
Katika majibizano yao huko X zamani Twitter, Martin alimshauri Evarist Chahali arudi Tanzania kuendeleza harakati za kupambanna dhidi ya CCM na sio kubeza na kuwaita Chadema waoga.
Evarist...
Habari Jf , ujasiri,upambanaji , uzalendo na uwepo wa mwanasiasa Tundu lissu unafanya wapenda mabadiliko kuanza kufikiria sana utendaji kazi wa Mbowe hasa ukichukulia ni Zaidi ya miaka yuko...
Watu wengi wanauliza swali la kijinga sana kwamba ni lini Mwenyekiti wa sasa alitangaza atagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chadema
Ni swali la kijinga kwa sababu Katiba ya Chadema iko Wazi kwamba...
Chacha wangwe alikufa kifo Cha kutatanisha baada ya kuutaka uwenyekiti chadema
Inawezekana maadui walipitia kwenye mgogoro wao wakamfyeka lakini Mbowe hakuona Kama ni kosa!!
Zitto kabwe ni kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.