Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa ‘Mama Ongea na Mwanao,’ Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, amempongeza Tundu Lissu kwa kutangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA, akisisitiza...
Mara kadhaa viongozi waandamizi wa CCM wamesikika wakiwashauri Watanzania wasiwachague wapinzani katika nafasi ya Urais kwa madai kuwa vyama vya upinzani bado havijakomaa vya kutosha kuongoza...
Matokeo ya Mkutano wa Tundu Lissu;-
Siasa zinaenda kubadilika sana kama Tundu Lisu ataingia madarakani nafasi ya Uenyekiti CHADEMA,huenda CCM ikatangaza Jambo lenye maamuzi magumu kuelekea...
Tundu Antipas Lisu ndiye Mwanasiasa pekee wa Upinzani asiye na Bei
Hata mchungaji Mtikila rip alishindwa kuzikataa Fedha alizosaidiwa na Aziz
Shujaa Magufuli alikiri Wazi kabisa kwamba 2020...
Kuelekea mwakani chama cha mapinduzi kinahitaji mtu jasiri atakayetangaza kugombea Urais na Mama Samia.
Huku Lissu na Mbowe kule Fulani na Mama Samia nchi itachangamka hii
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa pamoja na kuwa na urafiki wa muda mrefu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter...
Ikiwa ni saa chache tangu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu kutangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa, wakati wa mkutano na...
Ni kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile.
Lema ni chawa namba moja wa Mzee Mbowe ila...
Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper.
Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana...
Nadhani rais Samia huko aliko anajuta kunrudisha makonda mjini.
Enzi za hayati Magufuli kuna mama mmoja bosi wa kituo cha uwejezaji nchini,alitumbuliwa kwa kosa la kutotumia mshahara wake
Mama...
Kuna taarifa za ndani juu ya ajali ya Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange kupata ajali ambapo inadaiwa ameumia sana.
UPDATE
Jioni hii makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefika...
Salamu kwa wote.
Kutokana na kuporomoka kwa dollar, wafanyabiashara ya utalii wamejikuta wakipata hasara kubwa kutokana na exchange rate ya Tanapa kubaki kuwa 2609 Tzs huku thamani ya dollar...
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu.
Amesema aliyeshika chupa ya damu...
Mwanachama wa CHADEMA au Mtu mwingine yoyote anayeona ajabu, au anayechukizwa au kukwazwa na nia yangu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Chama chetu atakuwa ama hajui au amesahau au hataki kuenzi na...
Wakuu,
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa kwenye orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani.
Samia ambaye alitajwa pia mwaka 2023 amewekwa kwenye nafasi ya 91...
Miaka zaidi ya 20 akiwa mwenyekiti wa Chadema imekuwa ni kama jinai kugombea kiti chake.
Mbowe sasa anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Tundu Lissu kipenzi cha wapenda haki ndani ya chadema...
Kila nikiona mambo yanavyoenda kwenye taifa letu chini ya ccm kuna kila dalili wafuasi wa ccm hawaoni shida yoyote ya katiba tuliyonayo yaani ni kama wameishaifikia nchi ya ahadi.
Ndipo hunijia...
Kama mkuu wa mkoa wa Morogoro unamwakilisha Mhe. Magufuli, basi agiza vyeti vya mtu anayejiita Dr. Haruni Nyagori, ambaye amekuwa akitumia vyeti feki, na kujiita daktari bingwa wa moyo. Anapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.