Najiuliza tu, kwa nini Lissu hajawahi kwenda Tanga kuhani msiba wa Mzee Kibao, na katika hotuba zake,mbali na kugombania madaraka ya uenyekiti na urais, hata hajawahi kuwataja akina Soka?
Ndugu zangu Watanzania,
Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi...
Tundu Lissu pamoja na kupendekeza ukomo wa viongozi katika chama cha CHADEMA amependekeza suala la ukomo wa ubunge na udiwani, Viti maalum CHADEMA.
Lissu anasema ubunge wa viti maalum ilikuwa...
Ni maoni yangu lakini simjui hanijui na hatujuani ila angefaa zaidi ya Prof.Janabi 👇👇
I had the honor of officiating the first-ever training on Biosafety Cabinet Certification at the Eastern...
Kufuatia Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama, mimi ningekuwa Mbowe wala nisingechukua hata Fomu ya kugombea, bali ningemuunga mkono kwa kutangaza hadharani tena kwa...
"Bila CCM imara nchi itayumba", Mwl Julius Nyerere. Hakika baba wa taifa aliona mbali. Ninakishauri chama pendwa CCM kama baba wa demokrasia nchini kukisaidia chama rafiki CHADEMA chini ya...
Kama isingekuwa Mungu. Mimi na wengine wengi tusingekuwa na uwezo wa kuishi
Hebu angalia tu jinsi mambo yalivyo. Nini kinaendelea?
Niambie inakuaje hapa Tanzania bado watu wengi wanapinga...
Nimependa na kukubali sana hatua ya Lisu kugombea uwenyekiti. Anagombea akija na siasa za akina Dr. Slaaa.
Anaibuka siku moja baada ya kuwa meza moja na mwenyekiti. Natamani kumwona nani...
Mchakato wa kuwapata waandishi wa daftari la kudumu kwa Mbeya mjini ni wa hovyo kuliko kawaida. Hii ni rushwa ya waziwazi inafanyika.
Watu waliomba ajira na waliopita wapo. Kwanini msitoe majina...
Kiwira privatization scandal:
THE Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) has returned the official file of TANPOWER
Resources Limited, the controversial private company set...
Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo.
Sasa baada...
Wanabodi,
Nimekutana bandiko hili humu JF Mnyukano Chadema ,mbunge Aida amkataa Lisu
Gazeti la jamhuri la leo limekuja na taarifa inayoelezea majibizano ya Tundu Lisu na mbunge wa Nkasi kupitia...
1. Lisu kwa upumbavu wako umipa CCM ushindi!
2. kulikuwa na haja gani ya kuitisha press?
3. kama ulisema mara 100, kuwa hutagombea Uenyekiti, leo umegeuka Jiwe, ni kuwa HUAMINIKI...
Muleba. Iko dhana kuwa ili Tanzania ipige hatua kimaendeleo inahitaji kiongozi anayethubutu kufanya uamuzi mgumu hasa kuwawajibisha viongozi wabadhirifu na wazembe, lakini Kamanda wa Polisi...
MALALAMIKO YEYOTE DHIDI YA KIONGOZI YEYOTE YAFANYIWE UCHUNGUZI KISHA YAWEKWE WAZI
Nilisikika huko ndotoni nikiwa nakoroma kama simba nikaanza:
Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia...
Kumekucha Twaha Mwaipaya na Yeriko Nyerere wamempongeza Tundu Antipas Lisu kwa kutangaza kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa
Boni Yai ambaye ni Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani na Mlinzi wa...
Wakuu,
Mnakumbuka yule Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Dodoma ambaye siku ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa alikimbia na daftari la wapiga kura akidai kuwa kuna hujuma zimefanyika?
Inaonekana sasa...
Swali: Kwa mfano, amesema elimu itakuwa ni ya bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Lakini pia amesema anauchukia sana umasikini na amechukua makundi ambayo yamebeba idadi kubwa ya Watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.