Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
John Magale Shibuda ndiye chaguo la chadema kwa mgombea urais kwa 2015 vuguvugu linaloendelea sasa kwenye chama ni kumjengea uwezo wa kuhimili mikikimikiki ya upinzani maana ccm hakuna mikiki kama...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Njombe Kimefanikiwa kushinda uchaguzi wa serikali za Mitaa katika vijiji 377 kati ya 381 Mitaa 81 kati ya Mitaa 82 na Vitongoji 1819 Kati ya 1832 Vilivyopo mkoani...
-1 Reactions
2 Replies
236 Views
Kiongozi wa chama haelewani na kiongozi mwenzake mkubwa wa chama. Kuna ugomvi mkubwa sana.............fuatana nami nukta kwa nukta nawasanua msiyoyajua. Ipo hivi Wote walikuwa na mahitaji yao na...
18 Reactions
76 Replies
7K Views
Baada ya miaka mingi sana kupita na kukifanya chama ni mali yake, chama ni kikoba chake hatimaye uvumilivu umemshinda na anataka kuachia ngazi. Kama kawaida mimi huwa ni mzee wa kuwasanua tu...
12 Reactions
56 Replies
4K Views
Hali si shwari kwa upande wa wenzetu huko mitaa ya ufipa. Kundi la mwenye chama linasema Lissu ana nguvu sana na anatishia kiti. Kundi la Lissu nalo halipo nyuma Ila wanaogopa kuitwa wasaliti...
2 Reactions
50 Replies
2K Views
Katika mapambano ambayo sio rasmi jakuwa hapo ni hili la mbowe na lissu. Viongozi na Wanachama wa Chadema hadi mashabiki hawajui waende na nani. Wapo wanaosema pembeni, wapo walioamuaa kukaa...
3 Reactions
8 Replies
625 Views
Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Baada ya mvutano wa muda mrefu na wenye chama hatimaye kuna kila dalili Lissu akahamia ACT. Leo hapa najua kuna wale washabiki watatoa...
7 Reactions
89 Replies
4K Views
Juzi tumeona maendeleo ya ujenzi wa kiwanja cha mpira cha AFCON kule arusha. Lakini, huwezi kuamini, hadi sasa serikali imeshindwa kuhitimisha michoro ya AFCON City kuuzunguka uwanja. Sababu...
1 Reactions
2 Replies
442 Views
Habari! Ule Utaratibu wa CDM wa kutorudia mgombea Urais ni kama jadi vile inayoendelea, Ndugu Lissu kuutangazia umma kuwa anataka uenyekiti wa CHADEMA, ajue Moja kuwa nafasi mojawapo ni LAZIMA...
0 Reactions
18 Replies
623 Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anatamani sana atakapostaafu kama mwenyekiti wa Chadema taifa basi mrithi wake atoke Bawacha. Source Tanzania Daima My take; Namuona Halima Mdee...
13 Reactions
92 Replies
10K Views
Upinzani na CHADEMA bado kwa kiasi kikubwa inahitajika siasa za harakati ili kurejesha mabadiliko na mwamko mkubwa wa upinzani vilivyopotea baada ya uchaguzi wa mwaka 2020. Kama uchaguzi wa mwaka...
3 Reactions
19 Replies
984 Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe anaweza kubakia kama Samson akisuniri nywele zianze kuota Ili amwombe Mungu wa mbinguni ampe Nguvu tena awashughulikie Watesi wake Ama Aamue kuwa Mussa na...
0 Reactions
3 Replies
174 Views
2014: Freeman Aikael Mbowe na Ester Matiku walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 789, Matiku kura 20. 2019: Freeman Aikael Mbowe na Cecil Mwambe walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 886, Mwambe...
4 Reactions
7 Replies
544 Views
Ndugu zangu, binafsi nimetafakari kwa kina kile kilichofanyika kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaliyofanyika ni zaidi hata ya kinachosemwa. Ni hatari kweli kweli. Uchaguzi...
4 Reactions
23 Replies
790 Views
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
32 Reactions
535 Replies
16K Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI. Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais...
2 Reactions
5 Replies
373 Views
Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185). Mradi huu sasa...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Alipokuwa akiwaapisha viongozi "wapya" tarehe 10/12/2024, Rais wa JMT, Mh. Samia Suluhu Hassan, alisikika akimpongeza Masauni kwa kazi nzuri aliyoifanya akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani! 1...
0 Reactions
1 Replies
266 Views
Bila kuwa mwanachama wa Chadema au ACT Wazalendo, nakiri kwamba Chadema, hawa kina Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Mbowe, na wakati fulani kina Msigwa, Dr. Slaa, Mtikila, Mrema, Dr. Kaborou na wengine...
4 Reactions
31 Replies
733 Views
Back
Top Bottom