Sijui kwa ufasaha maana ya chama dola, ila nimeshasikia mara kadhaa CCM ikilaumiwa kuwa ni chama dola!
1. Ni vibaya kuwa chama dola?
2. Katiba inasemaje kuhusiana na hilo?
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, anazungumza na Watanzania muda huu kutoka makao makuu ya chama hicho, Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huu...
SMZ IHAKIKISHE INASIMAMIA SHERIA YA UKATILI NA UNYANYASAJI (GENDER BASED VIOLENCE)
Ndugu wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru, Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia hali ya uzima wa...
Tuliokua chini ya utawala wa Mwalimu Nyerere tuliaminishwa kuwa Tanzania ni nchi ya kijamaa. Katiba bado inasema hivyo.
Ila kimatendo, sijui kama sisi ni wajamaa, mabepari au political...
WAZIRI KOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA DHARURA WA MAWAZIRI WA SADC ORGAN ZANZIBAR
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri wa...
Wanafunzi wa Shule ya msingi Nduweni Kata ya Tarakea motamburu wilaya Rombo wamemshukuru Mbunge wa jimbo la Rombo Prof Adolf Mkenda ambae pia ni Waziri wa elimu sayansi na Teknojia nchini kwa...
Nakumbuka siasa hizi za kiharakati zilianzia vyuo vikuu vijana wasomi na ma professor wahadhiri haswa wa UD na pale UDOM mambo yalikuwa moto moto sana, Mpango wa vyama vya upinzani haswa CHADEMA...
Just Imagine Msigwa,Heche,Lema na wenzao wangeshinda kwenye Kanda wakamuweka Mbowe mtu kati halafu Lissu akachukua Fomu nini kingetokea?
Lialia ya Msigwa,Lema na Heche na yanayoendelea kwa Lissu...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Leo mimi kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni, nimekuja kutoa maoni yangu na kuweka sawa historia kuhusiana na swala la michezo pamoja na siasa zetu hapa nchini...
Huo ndio ukweli, Chama wakiachiwa hawa kina Lissu ni suala la muda tu, chalii
Chama cha siasa kinahitaji mtu mwenye historia ya kuwa sehemu ya watu waliowahi kuwa kwenye oligarchy ya Tanzania...
Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini...
Kada wa CCM mchungaji Peter Msigwa awataka vijana wote nchini kupuuza propaganda za CHADEMA na Kuiunga Mkono CCM.
"Vijana msipoteze muda kusikiliza porojo za CHADEMA, wanagomba huko waliko...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika mabadiliko ya kawaida ya Baraza la Mawaziri yameshuhudia Mheshimiwa Innocent Bashungwa akihamishwa kutoka wizara ya Ujenzi kwenda wizara ya mambo ya ndani.
Hii na...
Kwanza nitangaze Mgongano wa Maslahi kwamba mimi pia ni Shabiki wa Lissu, naheshimu mchango wake katika kupigania mabadiliko ya nchi hii na natambua na kuheshimu gharama alizolipa kwa kwa kazi...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa
kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
Nchi za jirani kama Kenya, Malawi na Zambia hata zisizo jirani kama vile Botswana wameangusha vyama tawalaa.
Soon, Afrika ya Kusini na Msumbiji wanaweza kujikomboa na vyama hivi manyang'au.
Je...
Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo.
Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora...
KUna watu wanaamini kuwa Zanzibar ni nchi na wanaamini hivyo kwa sababu Katiba ya Zanzibar inasema hivyo (toleo la 2010). Ni muhimu kukumbuka kuwa kabla ya mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar...
Kimsingi Binadamu hafundishwi Uongozi bali anafundishwa jinsi ya Kutawala na Kusimamia
Uongozi ni Kipawa, Kipaji na Karama ambayo imewekwa ndani ya roho na Ubongo wa Watu wachache sana tuseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.