Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu zangu Watanzania, Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona...
15 Reactions
245 Replies
11K Views
Mwenyekiti Mteule wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo, Severin Mushi ameahidi kuhakikisha anatatua changamoto za wafanyabiashara hao akishirikiana nao pamoja na serikali jambo litakalosaidia...
1 Reactions
0 Replies
165 Views
Na Nulphin Charles Heche, Mtwara Katika hali ya kushangaza Freeman Mbowe ameonyesha nia ya kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA licha ya kuongoza kwa zaidi ya Miaka 20. Wanachama wengi...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Askari Forodha hufanya KAZI saa 24 na Usiku ndio muda Mzuri wa kukamata magendo Nimekutana nao sana miaka ile ya 1990s mwanzoni palipokuwa na uhaba wa Sukari na BIA Sukari iliingizwa kwa Magendo...
4 Reactions
108 Replies
4K Views
1. Mwantakaje Haji Juma - MBUNGE WA BUBUBU Chama: CCM Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 7563 Historia ya elimu - Pwani Mchangani Secondary School: CSEE: 1986 - 1988: Secondary School - Pwani...
0 Reactions
0 Replies
191 Views
1. Haji Makame Mlenge - MBUNGE WA CHWAKA Chama: CCM Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 7563 Historia ya elimu Ukongoroni Primary School: CPEE, 1977 - 1985 Mikunguni Technical Secondary School...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
1. Ramadhan Suleiman Ramadhan - Mbunge wa Chakechake Chama: CCM Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 4136 Historia ya Elimu Madungu Primary School and Michakaini Secondary School: CPEE, 1992 -...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
1. Mbarouk Juma Khatib - MBUNGE WA BUMBWINI Chama: CCM Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 11240 Historia ya Elimu Makoba Primary School: CPEE, 1975 - 1982 Uzoefu wa Kisiasa Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
1. Salim Mussa Omar - MBUNGE WA GANDO Chama: CCM Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 3390 Historia ya Elimu Diploma University of Dar-es-Salaam Computing Center 2011 - 2013 Certificate...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Makamishna wa Jeshi la Polisi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt...
5 Reactions
82 Replies
6K Views
Hili ndio gazeti ambalo bila shaka lilipewa fungu kujaribu kuonyesha kwamba Chadema kuna Mgogoro Sasa tunaliomba basi kwamba hata haya ambayo yamesemwa na Chadema leo yachapishwe Kesho kwenye...
16 Reactions
41 Replies
2K Views
1. Mkataba wa DP World. 2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro. 3. Utekaji na mauaji. 4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama. 5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
25 Reactions
114 Replies
4K Views
Ndugu zangu TANROAD niwaombe sana mtuonee huruma na vigari vyetu na usalam pia. Kilichofanyika barabara ya Morogoro kwenda Dodoma mbele ya hotel ya Flomi karibu na kituo cha kupozea umeme hapo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Uhamiaji na Changamoto za Kijamii Wilaya ya Chunya Katika kipindi hiki, tumeweza kushuhudia mabadiliko makubwa katika hali ya uhamiaji nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya vijijini kama...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Mwenye wasifu pls atuwekee hapa. Huyu Mzee ana jambo gani ambalo limemfanya adumu katika vipindi vyote vya uongozi wa nchi hii? Amekuwa zaidi ya Wassira! Hebu mnaomfahamu mtujuze kuna nini kwa...
8 Reactions
174 Replies
22K Views
Tetesi za Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kugombea uenyekiti wa chama hicho zikiendelea kusambaa, maoni mseto yameibuka miongoni mwa wanachama. Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Kijana Benedikiti Ngonyani amekamatwa na polisi kwa kusambaza ujumbe katika mitandao ya kijamii kuwa mkuu wa majeshi amelishwa chakula chenye sumu. ============================== SERIKALI...
6 Reactions
487 Replies
73K Views
MAELEZO KUKAMATWA KWA MARTIN MARANJA MASESE (MMM) Alikamatwa akiwa eneo la mahakama ya mwanzo Tarime Mjini mnamo saa 6:00 mchana. Alijitokeza mtu mmoja na kumuita MMM na kumwambia kuwa...
21 Reactions
118 Replies
12K Views
WAZIRI WA UJENZI MHE. ABDALLAH ULEGA AANZA KAZI, ASISITIZA USHIRIKIANO Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Abdallah Ulega, amepokelewa wizarani na kulakiwa na watumishi wa Wizara, wakiongozwa na Katibu...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Mkuu wa Wilaya ya Moshi, James Kaji, amesema hatawavumilia watumishi wazembe na kuagiza majina ya waliokwepa kushiriki maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika yawasilishwe kwake mara moja...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom