Prof Tibaijuka amesema anaamini mchakato wa kumpata Mkurugenzi wa WHO Africa utaanza Upya Baada ya Kifo Cha Dr Faustine Ndugulile
Tibaijuka amesema Kila Chaguzi zina Siasa zake
Alikuwa akiwajibu...
Amani iwe nanyi wandugu!
Napenda kuwapa Polee na mihangaiko ya hapa na pale pamoja na hofu kubwa iliyolikumba taifa kwa sasa ya huu ugonjwa wa Corona.
Kwa takribani wiki nzima nimekuwa nikiwaza...
Kipindi cha nyuma kidogo kabla ya utawala wa tano, CHADEMA ilionekana kuwa tumaini jipya la kuwasemea wanyonge na kuibua uozo wa serikali na pale ilipobidi waliishinikiza serikali kuwajibika...
Habari wakuu,
Nimeisoma hii makala nikabaki na duwaa. Nimeona ni kama vile wanaopata msamaha ni kwa makosa ya mauaji (pengine kwa kutokusudia) na wizi mdogo mdogo, na magomvi ya kupigana...
Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike.
Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa...
Wakuu.
Kwa hiyo kwenye hii nchi sasa hivi kila kitu kinapewa jina la Samia? Kwanini mnafanya kila kitu kwa tone ya Uchawa?
==============================================
Wakati nazunguka...
Tumeona jana mwenyekiti wenu akisema masuala ya ndani ya chama chenu ya yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti ni yenu binafsi.
Hivyo basi msiwe mnatushirikisha sisi raia wa kawaida kuhusu mambo yenu na...
Hili ndio swali ninalojiuliza ukizinatia hao wateule na wageni wote hao wametoka Dodoma ambapo pana Ikulu ambayo ingetumika kufanya hiyo shughuli.
Tukumbuke nchi yetu ina matatizo kibao ikiwemo...
Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:-
1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na...
Chimbuko la AA, TAA, TANU na hii CCM Inayotafuna Nchi
Uongo wa Historia ya Afrika na Waafrika itajibiwa na muafrika.
Na: Yericko Nyerere
Binafsi nimejipa utaratibu kuwa vitabu vinavyohusu uafrika...
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni USA.
Pamoja na mbwembwe zote,Marekani ni miongoni mwa Nchi 20 ambazo Zina Watu Wengi wanaokabiliwa na hatari ya njaa Duniani.
Pamoja na USA zipo pia Nchi...
Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote.
Katiba mpya na Sheria mpya za...
Novemba 2024 ni mwaka mmoja tokea kuanzishwa na kusajili taasisi ya kidini wizara ya mambo ya ndani kitengo cha msajili wa taasisi zisizo za kiserikali.
Leo hii nimefanya followup kutaka kujua...
Juzi wakati Tundu Lissu akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuvuja kwa taarifa ya mauaji yake alilalamikia sana Serikali kuwa haijamlipa gharama zake za matibabu mpaka leo.
Serikali yetu...
Kilichoahidiwa na CCM na kutekelezwa kwa miaka siting na kitu kinajulikana. Uzuri na Ubaya wa sera zake unafahamika. Watanzania wanajua maisha chini ya CCM. Hakuna kiongozi wa CCM kwa sasa (awe...
Makonda ni aina ya watu ambao wakisha pewa Mic kuonfea kabla hajaanza kuongea watu huanza kuinamisha vichwa chini na kuwaza sijui ataharibu ay.
Makonda sio wa kumuachia MIC jukwaani yaani hajui...
Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani?
Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi.
Hapa kwetu...
Ikiwa Mkurugenzi Mkuu mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) atafariki kabla ya kuapishwa au kuchukua rasmi ofisi, taratibu zifuatazo zinafuatwa ili kuhakikisha uongozi unaendelea:
1...
Tunapaswa kumuonyesha Raisi Samia kwamba haturidhishwi na mfumo wa huduma za Afya Tanzania, na ikiwemo Hospitali kuu ya Muhimbili unayo simamiwa na huyo anaye pigiwa upatu.
Nchi ina mifumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.