Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu, Rais Samia anawaapisha Viongozi Wateule Ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar, leo tarehe 10 Disemba, 2024. Akiwa anazungumza katika uapisho wa mawaziri, Rais Samia amedokeza kuwa ni viongozi...
3 Reactions
41 Replies
2K Views
MSIKILIZE HAPA MH RAIS SAMIA KUHUSU EPC+F LEO TAREHE 10 DISEMBA 2024 https://youtu.be/8RqWIsRYKvQ?si=Q7tQR3tXSsYr95au MSIKILIZE HAPA MPINA AKIPINGA EPC +F TAREHE 26 May 2023...
1 Reactions
6 Replies
735 Views
Wakuu, Akiwa anaapisha Mawaziri wapya siku ya leo, Rais Samia amemsifia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kwa kusema kuwa amefanya kazi katika Wizara hiyo. Samia amedokeza kuwa pamoja na kukaa...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Leo ni kumbukizi ya siku ya Uhuru wa nchi ya Zanzibar. Mnamo tarehe 10 Disemba 1963 nchi hiyo ya Zanzibar ilipata uhuru wake toka kwa wakoloni wa Uingereza ambao walikuwa wameitawala nchi hiyo...
0 Reactions
13 Replies
628 Views
Wazungu siku zote hawajawahi kujali chochote kuhusu demokrasia bali wanacho jali wao ni usalama wa maslahi yao pekee...
0 Reactions
9 Replies
261 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi, Mchungaji Peter Msigwa ametahadharisha watanzania juu ya upotoshaji unaotarajiwa kufanywa na vyama vya upinzani nchini kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na...
0 Reactions
30 Replies
1K Views
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuanzisha chombo cha kuratibu na kusimamia mikataba ambayo Serikali inaingia. Prof. Kabudi ameeleza...
2 Reactions
13 Replies
866 Views
Tunawapongeza wale wote ambao kila siku, usiku na mchana, wanafikiria namna ya kutatua matatizo ya nchi na wananchi. Lakini watu watambue kuwa hakuna muujiza wa kuifanya nchi ipate maendeleo, na...
43 Reactions
96 Replies
5K Views
Salaam, Shalom!! Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka. Watu wanapotea...
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Lissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni. Leo amesema hayo mbele ya Mbowe. Kumbuka maneno ya...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Shangazi la Taifa na Mwanaharakati wa mitandaoni anaeunga mkono Wapinzani bibie Fatuma Karume amehoji Nguvu na ushawishi wa Chadema na Viongozi wake kufuatia Wananchi kuwapuuza kwenye maandamano...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, Mbowe amerusha kijembe huko kuwa suala la yeye kugombea haliwahusu watu wa nje, ni kama pilipili tusiyoulia inatuwashia nini? Suala la kugombea chama kitasema agombee au lah. Asema kuna...
16 Reactions
63 Replies
3K Views
Prof Kabudi pamoja na Harrison Mwakyembe waliwahi kuwa waandishi wa habari wa magazeti ya uhuru na mzalendo(if I am not mistaken). Hii ilikuwa kabla, wakati na baada ya vita vya kagera. Kwa...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho upande wa Bara Tundu Lissu kwa ajili ya kuzungumza na...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Waziri Kombo aongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
1 Reactions
1 Replies
217 Views
Daniel Arap Moi "alijiapiza" kuwa KANU ingetawala Kenya miaka mia moja! Iko wapi kwa sasa? Haikufikisha hata miaka hamsini. Iliondolewa madarakani na waliowahi kuwa wana KANU waandamizi. Adolf...
5 Reactions
7 Replies
389 Views
Najiuliza ili swali inakuwaje Zanzibar watu hawatekwi na kupotea Kama bara? Toka watu wameanza kutekwa na kupotea mwaka 2016 mpaka mwaka huu ni 2024!! Sijawai kusikia mzanzibar katekwa na...
4 Reactions
13 Replies
422 Views
Kila kusudi Lina wakati wake na ukifika ni lazima litimie. Mzee Kikwete alitamani kutuachia Katiba Mpya Lakini Wakati Ule haukuwa na kusudi la Katiba Mpya ndio Sababu alipata Upinzani ndani ya...
2 Reactions
21 Replies
635 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu akiwajibu wanachama wa chama hicho wanaomshambulia mitandaoni kuelekea uchaguzi wa ndani wa Chama hicho.
2 Reactions
1 Replies
237 Views
Back
Top Bottom