Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani...
0 Reactions
18 Replies
591 Views
▪️Ni watoto walioachwa na Mama Mzazi aliyefariki kwa kufunikwa na kifusi ▪️Viongozi wa Dini wamshukuru kwa upendo na moyo wa kujitolea ▪️Aahidi kuwasomesha na kuendelea kuwahudumia watoto hao...
1 Reactions
3 Replies
347 Views
Tunaposheherekea miaka 63 ya Uhuru ni vyema kama Taifa kutafakari katika maeneo kadhaa ambayo ni muhimu. 1-Tanganyika ilipata uhuru bila kumwaga damu yaani vita. 2-Kupitia Waasisi wetu hususani...
3 Reactions
12 Replies
554 Views
  • Closed
Ni kwa nini duniani kote inajulikana kuwa Bara la Afrika ni sehemu ya kwenda kuiba au kuchukua vitu pasipo na wenyeji wake kuonyesha kujitetea? Hii hali inazidi kuwa kubwa kadri siku...
1 Reactions
8 Replies
312 Views
Naona nchi jirani wamesheherekea kwa makongamano na shuhuda mbalimbali huku wakijipongeza walivyomtimua ADANI Wamesema kuna muhindi mwingine Dr Kamlesh Pattni walimtimua kitambo akakumbilia...
1 Reactions
14 Replies
262 Views
Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote... Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka.... Basi, pengine njia inayofaa...
20 Reactions
46 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Nasikitikia Nchi yangu Tanzania. Nadhani na hii ndo sabababu hatuendelei. Suzani Kaganda aliteuliwa kuwa Commissioner for Administration and Human Resources of Police badala ya...
16 Reactions
79 Replies
5K Views
Tindu Lissu na zile kampuni za Tigo ya zamani na wamiliki ni muda tu kabla ya kukubaliana kiasi gani wamlipe. Mjadala unao endelea sasa ni mgawanyo kati ya Lissu na mawakili wake kwa mara nyingi...
3 Reactions
12 Replies
885 Views
Naaaaaam naona kila MTU atafikiwa Tu. Ni suala la Muda Tu. Hapa ni Tanzania Prisons wakiwa wamezuiliwa Iringa kwa kosa la Overspeeding, normal speed ilitakiwa iwe 80km/HR yeye kaendesha kwa...
28 Reactions
174 Replies
8K Views
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile. Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama...
46 Reactions
175 Replies
8K Views
Japo sikuwa nimezaliwa, lakini kupitia vitabu nimefahamu kuwa tarehe kama ya leo ndiyo siku nchi yetu ya Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni mweupe! Kwa furaha kabisa nawatakia Watanganyika...
4 Reactions
5 Replies
192 Views
Itokee siku moja Rais aende uwanja wa Taifa ili kukusanya maoni ya Watanzania juu ya mustakabali wa Taifa lao. Kutwa nzima tujadili ni namna gani umaskini na ufukara ukomeshwe. Tujadili ni namna...
8 Reactions
19 Replies
484 Views
Kwanza tupongezane sote kwa siku hii ambayo ni kumbukizi ya Uhuru ambao wapendwa wetu walipambana kwa jasho na damu mpaka leo hii tunajitawala na kuyaendesha mambo yetu kwa utashi na uhuru kabisa...
0 Reactions
12 Replies
326 Views
Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ACT Wazalendo haitakubali Zanzibar kufanyika kura ya siku mbili. Mheshimiwa Othman, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza...
0 Reactions
3 Replies
505 Views
Tunaposema huu MUUNGANO ni wa hovyo ni pamoja na KUIUA NCHI ya TANGANYIKA Nchi ambayo tulipewa na MWENYEZI MUNGU Nchi ambayo kila RASLIMALI tulipewa na Laana ya kuiua ndio huo UMASIKINI wa Watu...
4 Reactions
8 Replies
614 Views
Mimi sio Mwanasiasa na Wala sio mtu mwenye Jina kubwa ktk hii Nchi Yenye Watu wakuu na Waliomaalumu sana. Nimetazama Umuhimu wa Raia ktk Hii, Nchi, nimeona Uthamani wa Raia ni mdogo sana...
0 Reactions
0 Replies
155 Views
Wadau nawasalimu.Leo ni tarehe 9 Desemba 2023 Miaka 62 toka Nchi yetu ipatiwe Uhuru wake kutoka kwa Mwingereza. Kilichonishangaza ni kusikia kuwa Eti Leo ni Miaka 62 ya Uhuru wa TANZANIA BARA...
2 Reactions
54 Replies
2K Views
Hospital ya Mawenzi, Kilimanjaro, kumekuwepo na juhudi za wananchi kufanya usafi katika hospitali ya eneo hilo. Hatua hii inatokana na sababu kadhaa zinazohusiana na hali ya usafi wa hospitali...
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇 Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza...
56 Reactions
334 Replies
18K Views
Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo. Siku ya Uhuru Ina...
-1 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom