Jamani mimi sijui ni mshamba au ninamaarifa kidogo, huwa napata sana shida kuona kiongozi mkubwa kama Tulia Acksoni, Spika wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na spika wa Dunia, mtu anae ongoza...
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa Nyalandu anamiliki Kampuni ya Nitoke Safaris Ltd jambo ambalo limeelezwa kuwa ni kinyume na Kanuni za Utumishi wa Umma hasa kwa kuwa yeye ni msimamizi wa...
Wanabodi,
Tukiwa tunajiandaa kwa uchaguzi Mkuu wa rais mwakani huku kuna chama kimoja tayari kinayemgombea wake Mwanamke kwa utaratibu wao wa kichama ndani ya chama chao, huku kuna Wahafidhina wa...
Wakuu,
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ametangaza kuwa Disemba 09, 2024 wakati Tanzania itakapokuwa inaadhimisha Miaka 63 ya Uhuru, Mkoani Arusha kutafanyika Kongamano kubwa la maombi la...
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Changamoto, Mafanikio, na Mustakabali wa Demokrasia Yetu
Novemba 27, 2024, Watanzania walishiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa lengo la kuchagua...
Hizi comments hapa chini zimenitisha sana na zinaatoa picha halisi ya jinsi utawala wa CCM unavyochukiwa nchi hii. Sijui huo ushindi wa 99% kwenye chaguzi unatoka wapi!
Chuki ya wananchi kwa...
Wakuu,
Wakati mataifa mengine yakijikita katika tafiti mbalimbali na kuwekeza katika miradi ya kimaendeleo, Makonda siku ya leo amekusanya maelfu ya wananchi na kuanza kukemea roho chafu...
NA SAMWEL JOHN LEMA
Hivi karibuni Jimbo Kuu Katoliki jimbo la Nairobi lilikataa na kurejesha mchango wa fedha kutoka kwa Rais wa Taifa la Kenya Mhe William Samoei Ruto na Gavana Johnson Sakaja...
Sehemu yoyote ukihubiriwa kuwa kuna amani, inahitajika kupimwe amani ile imeleta nini kama ambavyo vita huleta hasara basi amani nayo lazima ipimwe kuwa imeleta maendeleo kiasi gani..
Ikiwa muda...
Kwa nini majina ya wabunge wetu waliopata ajali wakiwa safarini kwenda Kenya kwenye michezo hayajatajwa? Kuweka siri majina yao kunaashiria nini kwa mustakabali wa Taifa?
Ni haki yetu wananchi...
Wakuu,
Makubwa!
====
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Emmanuela Kaganda ametoa maagizo kwa taasisi zote za serikali ambazo hazijahudhuria kwenye sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania...
Inawezekana ni Kweli Chadema huwa wanaanza na Mungu na kumaliza na Mungu
Maana wangekuwa na ushirikina nadhani Mdude angekuwa na cheo kikubwa sana na yule Mshana Jr wa Msata
Kwako Lucas...
Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama...
Sintashangaa kwamba katika maraisi wote wa Tanzania, Raisi Samia atakuwa anashikilia rekodi ya kuteua na kutumbua, na kama bado hashikilii hiyo rekodi, basi ataishikilia hivi punde, na huenda...
Kuweni wastahimilivu na wenye subra ikiwa hoja, mitazamo, maoni na fikra tunduizi za wadau kwenye masuala mbalimbali ni nzito, za maana na muhimu zaidi ya mawazo, maoni au mitazamo yenu ambayo...
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza...
Wanabodi,
Ile Amri ya Rais Kuifuta Sikukuu ya Uhuru ni hii hapa na Amri Hiyo Haikutaja Sababu yoyote ya msingi ya kuifuta siku hiyo, wala haijataja kuwa watu watatakiwa kufanya usafi kwa...
Ujumbe wa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda kwa Madiwani wa Mkoa wa Arusha.
"Huwa na waambia viongozi wangu wa hapa, sitaki diwani masikini’ hatutaki diwani masikini tafuteni hela hata tukija...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.