Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi wewe mkazi ama wa Kitongoji, Kijiji au Mtaa unawezaje kuinyima Ushirikiano Serikali ya Eneo unaloishi? Nimekaa pale nasubiri mifano 🐼 Magufuli: Kesho yake tukamuona aliyetekwa anakunywa...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Wana-Ngorongoro bado wako ngangari na CCM yao, kuna waliodhani eti kwa sababu ya zoezi la kuwahamishia kwenyw makazi bora eti wangeichukia CCM. Aahhhh wapi. CCM imepata ushindi wa kishindo
0 Reactions
9 Replies
443 Views
Kumekuwa na nadharia nyingi sana kuelekea 2025 ndani ya chama 5 tena, kitaifa katiba ibadilishwe kuwe na tume huru ya uchaguzi tupate mtu kutoka nje ya mfumo wa CCM. Nimekuwa nikizungumza na watu...
12 Reactions
46 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba...
5 Reactions
155 Replies
4K Views
Ulizeni gharama za matibabu Muhimbili zilivyo kisha mlinganishe na Hospitali za mitaani mtaona kuwa hali ni mbaya sana. Hospital ya Taifa ya Muhimbili kwa sasa imekuwa ya kibiashara zaidi na si...
23 Reactions
65 Replies
3K Views
Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya. Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi...
0 Reactions
5 Replies
406 Views
Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho Duniani kote inaeleza kwamba Mkutano huo utaongozwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe Bali Taarifa zingine za siri ambazo Mwandishi huyu amedokezwa ni...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
MTAMBUE SHEMSA MOHAMED M/KITI CCM MKOA WA SIMIYU KATIKA MEZA YA VIONGOZI MASHUHURI WA KISIASA DUNIANI Ameandika Comrade Msauzii (0769086992) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa...
2 Reactions
6 Replies
412 Views
Leo, Tanganyika aka danganyika, na hata Zenj zinasherehekea siku ya uhuru. Kwa uchakachuajin uchaguzi, utekaji, mauaji, ufisadi, uchaawa, ubabaishaji, maisha magumu kwa walio wengi na mazabe...
1 Reactions
1 Replies
147 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Tawi la Machinjioni, Kata ya Makongorosi Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, Michael Kalinga amekutwa ameuawa na mwili wake kutelekezwa...
25 Reactions
193 Replies
10K Views
Wakuu, Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya...
5 Reactions
22 Replies
999 Views
Wakuu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa chama hicho (CCM) ni chama kinachoongoza kwa kutekeleza ilani barani Afrika na hilo linapelekea wananchi kukiamini...
4 Reactions
13 Replies
546 Views
1. Umesema polisi wamekuwa wana siasa na kuegemea upande wa CCM. Wanajiingiza katika siasa. .2. Umewalaumu DED kuvuruga uchaguzi 3. Umekemea kutokuwepo na tume huru ya uchaguzi 4. Na mengin...
9 Reactions
17 Replies
524 Views
Mahojiano yake na mwanahabari katika kituo kimoja maarufu cha television nchini yamethibitisha uoga na unyonge wa huyu muungwana katika kupambana na kudhibiti rushwa ndani ya chama chake mwenyewe...
1 Reactions
42 Replies
815 Views
Huyu mwandishi alikuwa ndani ya Vatican,kwa siri alizoziona ndani, akatoa kitabu kilichouza sana na kupata umaarufu mkubwa! Alitoa nukuu zifuatazo kama tahadhari kuhusu watu aina ya Makonda na...
1 Reactions
5 Replies
491 Views
Mh. Lissu wewe mwenyewe unaelewa kuwa ukiwa mwenyekiti wa chama inakunyima nafasi ya kuwa mgombea nafasi ya Urais. Wafuasi wengi hawaelewi hilo. Ombi langu kwako, badili upepo wa kisiasa ndani ya...
2 Reactions
8 Replies
490 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ametoa hotuba yenye hisia kali sana ,iliyowagusa watu wengi sana. Ni hotuba ya kihistoria yenye kuonyesha namna Tanzania tulivyo bahatika kuwa na kiongozi...
2 Reactions
89 Replies
2K Views
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa...
9 Reactions
107 Replies
6K Views
Back
Top Bottom