Wanabodi!
leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho...
Wanabodi,
Naomba kuuliza,
Of late, there has been a lot of hiring and firing kwe ile ofisi yetu nyeti!.
Could there be a problem with our vetting systems? . This hirings and firings za DGIS wa...
Naona kama hakuna makala sheheni ambazo zitaelezea hali ya nchi tangu uhuru zilizoandaliwa na kila Wizara/Idara ili kutanua wigo wa ufahamu wa jamii ya sasa. Hata kama zipo, basi kuna taasisi...
Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya...
Ikiwa Leo tunatimiza miaka 63 tokea tupate uhuru wa Kisiasa mnamo tarehe 9. 12. 1961, na Bado Taifa Lina changamoto kubwa juu ya uhuru huo ikiwa imesalia miaka 37 tu kufikia karne Moja.
Kwa maono...
Tanzaniza ni muungano wa nchi mbili,kuna Zanzibar na Tanganyika na wote tulipata uhuru nyakati tofauti.Inanichanganya nikisikia watu wanasema miaka 49 ya uhuru wa Tanzania.
Msaada wenu...
Siku chache baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji hapa nchini, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Mtambani kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo mkoani...
Bendera yetu halisi.
Ndugu zangu.
Maamuzi ya Rais Samia kufuta sherehe za uhuru wa Tanzania ni sahihi kwa wakati huu tunapoelekea kupata katiba mpya na bora.
Tanzania haikupata uhuru wake...
Kufuatia mauaji ya kutisha & kusikitisha ya Mzee Ally Mohamed Kibao kada wa CHADEMA Wazee wa kimila wa makabila ya Wamaasai & Wameru wameanza taratibu za kuvunja CHUNGU.
Wale wote...
Wakuu,
Inaonekana mambo yanazidi kutokota ndani vya CHADEMA kadri siku zinavyozidi kwenda.
Hivi karibuni, Dk. Slaa ameonyesha kukerwa na ukimya wa CHADEMA kuhusu tuhuma za rushwa zilizotolewa...
Tanzania tujiandae na vuguvugu kubwa sana miaka 3 ijayo. CCM Mama Samia kaamua kuwafuata wenye siasa kali na wanao amini wizi wa kura na matumizi ya Polisi kwenye chaguzi. Upinzani wale wanaopenda...
Baada ya CP Suzan Kaganda kuteuliwa kuwa balozi Sasa naona nafasi yake Kama kamishna wa fedha na mipango inaenda kuchukuliwa na mjumbe wa kamati ya fedha ya shirikisho la Polisi wanawake...
Karamu za fahari, mabembe ya kupepea.
Na majumba mazuri, wamekwisha jijengea.
Watembea kawa magari, hivi zimewazow
"Viongozo wa Afrika
Wanaotumia mapesa,
Wakaogelea anasa,
Nayo mitindo ya...
Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea...
Zile hofu za Visasi, Teka Teka na mateso mengine havikuwepo wakati wa Kardinali wa Kwanza Africa baba Rugambwa
Tutegemee Tunda la Upendo, Uvumilivu, mshikamano na Utu wema Kutoka kwa Innocent...
JUL
25
AZAM TV KIPINDI MAALUM CHA MASHUJAA WA UHURU WA TANGANYIKA
SEP
30
AZAM TV MASHUJAA WA UHURU: KISA CHA RASHID ALI MELI
Click hapo chini kwenye mshare mwekundu kusikiliza:
Mkutano wa...
Watanzania tuwe makini na hawa watu wanaojinadi kama chama kinachotetea maslahi ya watanzania.
Chama hiki kimepoteza muelekeo na waliopo wanafanya kazi ya kulinda maslahi yao binafsi.
Tumesikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.