Balozi Ammy Mpungwe amesema Wawekezaji wa nje ni muhimu kwenye Uchumi wa Tanzania kwa sababu Watanzania wenyewe hawana Utamaduni wa Kuwekeza kwa maana halisi ya Uwekezaji
Balozi Mpungwe...
Friends and Our Enemies,
Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo.
Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Sheria kwa Mara ya tatu, japo umefanywa na Rais Samia ambaye ni binadamu, Rais...
Wakuu salama
Innocent Bashungwa ambaye jana ameteuliwa kuwa Waziri wa Ujenzi amekuwa Waziri anayehamishwa Wizara mara nyingi sana. Nini hasa kipo nyuma ya Bashungwa kuhamishwa Wizara kila mara...
Palagamagamba Kabudi aliteuliwa [na Rais Samia] kuwa waziri wa sheria na katiba Aprili 2021.
2022 akaondolewa kutoka kwenye hiyo Wizara.
Leo/ jana, huyo Palamagamba Kabudi kateuliwa tena kuwa...
Hii ni kwa sababu ya kudhibiti Conflict of interest.
Asikudanganye mtu, Nyumbani ni nyumbani tu, hili tunaliona kwa macho yetu. Huyu Masauni haya anayowafanyia Watanganyika hajawahi kuyafanya...
Rais wangu ni vema utusaidie jinsi ya kukufikishia maoni ya mtaani kwetu ! Mtaani kwetu mambo yamechacha ! Nahisi watu wako wakaribu hawakwambii ukweli kabisa ! Ni wapi sisi vijana wa mtaani...
Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa...
Kutokukubaliana na maamuzi ya wananchi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka ni sawa na kuzuia maendeleo.
Wagombea wanapojinadi, wananchi hupata nafasi kubwa ya kuchagua kiongozi wanayeamini ataleta...
Jamani hii nchi imekumbwa na Kitu gani? 🐼
Mwili wa Magdalena Kaduma, aliyekuwa mfamasia wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke, umekutwa umefukiwa pembezoni mwa nyumba aliyokuwa akiishi huku...
Za chini kwa chini yasemekana kwamba,
Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri.
Kuna...
Katikan sakata hili linalohusu uteuzi wa wajumbe kutoka Baraza la Maaskofu Tanzania(TEC). Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) na Shirikisho la vyama vya walemavu Tanzania tunatarajie kusikia...
TRA wanajichanganya Sana kwenye suala lililotokea Tegeta la wanaodaiwa wafanyakazi wake kushambuliwa.
1. Kwanza, wanadai gari aina ya BMW T229 DHZ limeingia nchini kinyemela hivyo walikuwa...
Waungwana salaam,
Ni wazi kuwa CCM haitaki vyama vingi. Leo mwenyekiti wa kitongoji cha Lowa B, kilichopo katika Kijiji cha Ruruma, Kata ya Kiomboi wilaya ya IRAMBA, ametimuliwa kwenye kikao cha...
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza na wanahabari leo Jumatano Disemba 04, 2024, mkoani Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27...
Ni kawaida katika nchi zote duniani baada ya chaguzi zo zote za kisiasa upande ulioshindwa kulalamika kufanyiwa ndivyo sivyo.
Kushindwa kura kunauma, na walioshindwa ni haki yao kulalamika kuwa...
Jana nimeshuhudia vurugu za kutisha mtaani wakati wa kilichodaiwa kuwa zoezi la kukamata pikipiki zinazodaiwa malipo ya SUMATRA. Hali ilikuwa ya kutisha baada ya bodaboda kuanza kurusha mawe ovyo...
Eti Mwenyekiti wa UVCCM anadanganya watu kwamba anataka Jeshi la Polisi lichunguze Watekaji.
Sasa tunampa hili halafu aseme limefikia wapi ikiwa tayari ishapita miezi mitatu
Kuna masuala yapo kiroho. Kuna mambo yanatupata leo kutokana na misingi iliyowekwa kiroho ambayo bila kuondoa mzizi mkuu kamwe hatutakuja kupata suluhisho.
CCM wanaishi kwa uongo na hii ndo...
Kwa ufupi,
Wanachadema wakati mnaendelea kuugulia maumivu haya ya kupoteza kila kitu lazima muanze kufikiria aina mpya ya siasa ya kufanya baada ya hii ya Mbowe kufeli kabisa.
Niwakati Sasa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.