Nchi yetu kadiri siku zinavyoenda mbele, imeshuhudia zikitungwa sheria nyingi za kuirudisha nchi nyuma, yaani sheria nyingi zimekuwa za kuwatesa na kuwaonea wananchi. Ni sheria za kuhalalisha uovu...
Ili tuweze kuishi harmoniously tunahitaji sisi kama Raia na Wananchi tuingie Mikataba na kuilinda..., Na moja ya Mikataba hio ni Ulinzi na Haki ya kila Raia popote pale aweze kuishi vizuri ili...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea...
Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
Mwili wa Amani Simbayao aliyekuwa Mtumishi wa TRA utaagwa kesho huko Viwanja vya TRA Kurasini
Mungu amlaze Mahali pema peponi
Nimejulishwa na Mtumishi mmoja wa Bandari ambaye ni rafiki wa...
Kwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali.
Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge.
Sheria...
Wa Tanzania wenzangu ni vema tujiulize tumefikaje hapa? Ni mezaliwa Tanzania toka mwaka 1967 sijawai kuona Hali ya kutoaminiana Kati ya vyombo vya Dola na wananchi.
Niwazi kuwa enzi hizo kama...
MUENDELEZO WA VITISHO NA MATENDO YA UKIUKWAJI NA UVUNJWAJI WA HAKI ZA BINADAMU YANAYOFANYWA NA JESHI LA POLISI NCHINI.
Idara ya Haki za Binaadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi ya ACT...
Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu...
Kutokana na vitendo vya utekaji, utesaji na pengine mauaji kushamiri katika Nchi hii, nakusudia kwenda The Hague(ICC) kuwashtaki baadhi ya wenye Mamlaka ili waiambie Mahakama ni kwa nini haya...
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji...
Amani ya Mungu itawale kila mmoja kwa imani yake wanajf popote mlipo.
Nimeoneshwa jambo ambalo sikutegemea kwa ndugu Makongoro Nyerere , sasa sijui ndo huyu mwanae na Baba wa taifa?
Mungu...
Matukio ya Watu Kupotea katika mazingira ya kutatanisha, Kutekwa na wanaoitwa 'Watu Wasiojulikana', na wengine Kuuawa yameendelea kuzua hofu miongoni mwa Wananchi. Je, ni nini sababu ya Matukio...
Bunge lipo pale kwa maslani yao na sio kwa maslahi ya wananchi, wabunge wanapitisha sheria nyingi zisizo wanufaisha wananchi moja kwa moja mfano Tozo na kujiongezea mishahara. Mbunge anayeonekana...
Natoa tu angalizo kwa Sababu Wanasiasa Wetu wanaogopana mno na wale maskini wa Akili na Uchumi sasa wamegeuka kuwa Chawa.
Kwenye kuambiana Ukweli ndipo yalipo maendeleo na Siyo hali sasa ya...
Ni swali tu hakuna utabiri wala lolote baya .
Swali : Kwakuwa baada ya kifo cha shujaa Magufuli makamu wake Samia Suluhu Hasani alipewa nguvu ya kisheria ya kumalizia muda wa Magufuli kisha na...
- Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu.
- Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao.
- Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa.
Asanteni kwa kunisikiliza...
Wanasiasa wengi hawaelewi hii dhana ndio sababu mara kwa mara tunapoteana
Ukitaka kuuelewa huu Utatu wa Mihimili ya Amani msikilize kwa makini CDF mstaafu General Mabeyo akielezea Siku za Mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.