Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi karibuni kumekuwa na vitendo vya utekaji, utesaji na hata mauaji. Wengi tumekuwa tukiishia kulalamika tu bila kuchukua hatua madhubuti. Kuanzia leo naomba kila Mtanzania/Watanzania tujitahidi...
2 Reactions
2 Replies
205 Views
Wanachama wa Chadema wenye akili TIMAMU wanatafakari kama kipindi hiki chenye changamoto kibao ni muafaka kwa Wao kubadili Uongozi wa Juu Makamanda Wana hofu Chadema itakuwa kama Yanga yaani...
4 Reactions
19 Replies
426 Views
Salaam Wakuu, Mwaka wa fedha 2012/13 Serikali ilibuni Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP), Madhumuni makubwa ya mradi wa DMDP ni...
14 Reactions
82 Replies
4K Views
📍Izigo_Muleba 🗓️Tarehe 07/12/2024 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comrade Faris Buruhani, ameongoza uzinduzi na makabidhiano ya nyumba ya Mama Asimwe sambamba na chumba kimoja cha...
0 Reactions
1 Replies
366 Views
"Leo naota jua tangu wamenikamata, hawa watu wananitesa sana." Kauli ya Mdude Mpaluka Nyagali baada ya kuachiwa kwa dhamana. "Walinigonga (kumpiga) mpaka wenyewe wakasema tumemzidishia dozi...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi KHAMIS MUSSA OMAR- TUMAINI JIPYA Na...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo wananchi wakikipa ridhaa chama chake kuongoza vijiji katika maeneo mbalimbali, wataongoza vijiji hivyo kama watakavyoongoza...
0 Reactions
3 Replies
304 Views
Wakati wenzetu wakiwa na plan za miaka 100 ijayo Bongo tuna plan za wiki 5 zijazo. Nchi ina plani za kisiasa na ziko Surported na wajinga hili Taifa la Tanzania. Tanzania kuna plan za wiki chache...
8 Reactions
15 Replies
787 Views
Zoezi lililoasisiwa na DC wa Ubungo mh Hassan Bomboko la kukamata Dada Poa sasa litatekelezwa na Wakuu wa wilaya Wote jijini DSM Mkuu wa mkoa wa DSM mh Albert Chalamila amesema Hakuna Changudoa...
10 Reactions
97 Replies
9K Views
POLENI sana ndugu zangu Wasukuma kwa kufanya utani kwenye uchaguzi na kuacha vigezo vya uwezo wa kiakili ninyi wenzangu mnaangalia mtu ambaye ana uwezo wa kuwanunuliwa vitumbua, ubwabwa, soda na...
23 Reactions
116 Replies
4K Views
Chanzo > Account yake ya mtandao wa X / Twitter ......................................................................................... Kwa Ndugu, Jamaa, Marafiki, Watanzania na jumuiya za...
19 Reactions
74 Replies
3K Views
Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu...
6 Reactions
19 Replies
7K Views
Katika moja ya comment zilizowahi kunishtua ni hii ya jobu aliyoitoa akiwa spika. Alidai kwamba wenzetu baadhi ya mataifa linapohusika suala la mikataba, hawana masihara hata kidogo huchukua...
26 Reactions
134 Replies
4K Views
Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi...
15 Reactions
99 Replies
5K Views
Wakuu, Tumemaliza kupiga kura jana na matokeo yaanza kuingia jana ile ile kwenye baadhi ya maeneo. Hali ikoje mtaani kwako? CHAMA gani kimeshinda? PIA SOMA - LIVE - LGE2024 - Special Thread...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Zamani huko Ulaya, ukipinga ukiristo unapatilizwa chini ya kile kilichoitwa inquisition. Kwenye uislam, ukiupinga chini ya dhana ya jihad unauawa. Huwa nashangaa. Kwanini kupigania dini ya...
1 Reactions
7 Replies
368 Views
Viongozi wote mashuhuri duniani wako Paris Ufaransa kushiriki ufunguzi wa Kanisa Kuu la Maria Mtakatifu mama wa Yesu Wageni mashuhuri Wakiongozwa na Rais mteule wa Marekani Donald Trump...
3 Reactions
3 Replies
337 Views
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph...
10 Reactions
363 Replies
11K Views
NAITAFAKARI HOTUBA YA JAJI WARIOBA. KAULI ZAKE ZENYE UTATA, ZINAHITAJI UFAFANUZI! Mzee Joseph Sinde Warioba kitaaluma ni mwanasheria. Msomi wa zamani wa mwanzo wa Chuo kikuu chetu cha Dar es...
4 Reactions
15 Replies
849 Views
Back
Top Bottom