Ukimsikia Raisi anaongea kule Geita unaweza dhania ni eneo lenya maisha ya juu kabisa kwa Raia ila ukweli kuna umasikini mkubwa sana kwa raia pale Geita, nenda huko Geita Vijijini kwa Msukuma...
Kuna wakati Uganda walimchukua Prof Lipumba akawasaidie kuimarisha uchumi wako, then wakamchukua Balthazar Mwenda kwenda kuimarisha Mifumo yao ya Kodi
Wakati Ule Tanzania ilisheheni wasomi wa...
Andrew Chenge ni mzee anayefahamika kwa wanaofuatilia siasa nchini. Video yake ya hivi karibuni ambayo alikuwa anamuuliza kijana mmoja kama amesoma imenifanya nimtafute huko bungeni ana elimu...
Waziri wa Fedha Mh Mwigulu akizungumza na Waandishi wa habari amesema kwamba Wananchi wenyewe ndio walioshauri serikali iweke Tozo ili kupanua wigo wa mapato , na kwamba ilichofanya serikali ni...
Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati...
Ni aibu na fedheha mikataba imesainiwa mbele ya vyombo vya habari, mpk leo hakuna mkandarasi yuko eneo lolote kati ya hizi 8.
Ni utapeli, ni uwongo, tuliletewa matapeli, Samia tuachie nchi yetu...
Waziri wa fedha Msomi Dr Mwigulu Nchemba amewaambia wabunge kuwa mkataba wa EPC +F ni " Technical" sana kwa wananchi na wabunge kuweza kuelewa.
Akitoa ufafanuzi bungeni baada ya Mbunge Halima...
Leo nipo na furaha sana wakuu jf , amani ya Bwana ikawe juu yenu.
Rejea mada tajwa hapo juu
Mzee wangu Jaji na Waziri mkuu mstaafu mzee Warioba amani ya Bwana ikawe juu yako.
Mzee wangu kama...
Amani iwe nanyi wanabodi!
Kupitia Northen Corridor Kenya anataka kuingia DRC, Rwanda, Uganda na Sudan Kusini kwa Reli ya SGR.
Sisi Tanzania tunajenga SGR yetu kuingia Burundi na baadae Congo...
Sisi ndio tutakaoteseka kama mambo yataendelea kama yanavyoendelea sasa hapa nchini. Kwa kweli tumerudi nyuma mno kwenye masuala ya uongozi na usimamizi wa utendaji wa watumishi wa serikali na...
Jana usiku nimempigia Mzee mmoja mstaafu wa serikali aliyewahi kuhudumu kama msaidizi wa mambo ya ulinzi na usalama wakati wa Rais Julius Kambarage Nyerere.
Nimemlalamikia namna serikali ya CCM...
Kuna kufikiri ambako nakuona hakupo sawa ndani ya CCM, kuanzia raisi Samia kama mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Spika wa Bunge, mawaziri, wakuu wa mikoa nk, yaani uongozi wote wa nchi ulio...
Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa!
1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni?
2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani?
3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
Unaeyesoma hapa waweza usinielewe
Wewe Afisa wa TRA uliyekufa kwenye shambulizi la wananchi waliokuhisi kuwa mtekaji hongera umevuna ulichopanda na kama Kuna dhambi ulizofanya enzi za uhai wako...
Daa maisha yanabadilika sana ila Nimecheka sana hapo anaposema Waliofahamiana Wakiwa Watumishi wameblock namba zake isipokuwa RC mmja tuu 😁😁😁😁.
Maisha ya Watanzania ndio yalivyo yanazungukwa na...
Salaam, shalom,
Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo...
Mimi nilimsoma Sokoine nikiwa darasa la nne 2005 kwenye jaridi ambalo lilisheni picha za uongozi, ajali na mazishi yake na naamini hapa wengi mtaniunga mkono kama mlilisoma.
Hadithi zake...
Kutokana na umri wao, uzoefu wao, na majukumu ya kitaifa waliyowahi kuwa nayo nchini, baadhi ya wastaafu wa kisiasa wana hadhi ya kutambulika kama wazee wa Taifa! Lakini kwa miaka ya hivi...
Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Pius Msekwa amesema hafurahii ushindi wa 99% wa CCM katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika kwani kuna mapungufu...
Nipende kusema kuwa Tanzania imebarikiwa kuwa na vipaji vya watu wa kipekee wenye kuasisi mambo mengi ambayo baadaye huchukuliwa na watu wengine duniani na kuwa sehemu ya ufanisi wa matarajio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.