Wananchi wa kitongoji cha NKENE,kijiji cha MAGULYATI,kata ya LOYA wilaya ya UYUI mkoani TABORA wamesema sababu za kumpigia kura za Hapana aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa kitongoji...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na katika uchaguzi wa...
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Dionis Myinga ambaye pia ndiye aliyekuwa Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wilayani humo amesema kuwa aliyekuwa...
Wanajamvi salaam
Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa,
Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo...
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji
Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama
Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe...
Waziri wa Fedha Dr Mwigulu amewalaani Wananchi waliowashambulia watumishi wa TRA wakati wakitekeleza majukumu yao
Dr Mwigulu ametaka hatua kali zichukuliwe dhidi ya wahalifu hao wa Tegeta kwa ndevu.
WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa...
Hapa waziri hujaonyesha utu kabisa ina maana mpaka washambuliwe TRA ndio utoe pole.
Angalizo: TRA wanavizia hata mtu akiwa na mkate wanamvamia na kudai risti hii sio poa yale magari na mafuta ni...
Sasa Bwana Chenge tunajua Mahakama imekusaidia sana kwa kuwa ilikutaka ulipe laki saba au uende ndani miaka mitatu nawe ukalipa laki saba kama vile mtu anavyolipa nauli ya Daladala.
Lakini...
My Take
Kwa Tanzania mwenye pesa na mwanasiasa Huwa hafungwi.
======
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na Mahakama ya Wilaya ya Moshi, zimeamuru kutaifishwa magari mawili yaliyokamatwa...
Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara Kilwa Kusini uliokuwa uhutubiwe na Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Katazo hili ni mwendelezo tu wa jeshi hilo kukubali Kutumika Kisiasa...
Nimeona watu wengi wameanza kujitokeza kumjibu Jaji Warioba, ni jambo jema kwa Sababu ni haki yao ya Kikatiba
Sasa kabla ya kukurupuka Soma kwanza 2 Mambo ya Nyakati 1:7-12 itakusaidia sana kwa...
Mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo uliotarajiwa kuhutubiwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu ambao ulipangwa kufanyika katika viwanja vya Maalim Seif Garden, Kilwa Kivinje, mkoani...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Taifa la UAE iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE...
Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma anashikiliwa na Polisi Mkoani Manyara kwa kosa la kusafirisha kinyume na sheria Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia.
Akiongea Kaimu Kamanda wa Polisi...
Tunapeleka taifa letu wapi?
Seriously, nimekutana na hii habari kwenye vyanzo mbali mbali vya mitandao ya kijamii vimenihuzinisha sana ..
Nimejaribu kuvaa viatu vya hao watoto...
Habari yenyewe...
Maandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi.
Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili...
Katika hali ya kushangaza mahakama imetoa hukumu kuwa mzee wa vya vijisenti alipe faini ya laki saba baada ya kukutwa na hatia ikiwemo kugonga,kuua na kuendesha gari bila Bima. Wakati flani...
Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM
Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam
Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.