Watanganyika wenzangu someni andiko hili mtapata faida na maana kubwa acheni kuhadaiwa na viongozi wa kisiasa wanataka kuigeuza nchi yetu shamba la Bibi.🩸🩸🩸
Kwanza kabisa napenda niwashukuru...
Tanzania ni nchi ambayo mtu analeta mashite za kubeti anaitwa mwekezaji wakati kazi yake ni kwenda vijijini kuchukuwa pesa ! Kuna wachina wanamachine za ku bet wanaitwa wawekezaji...
Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana.
Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni?
Tujadiliane.
Wananchi wa kata ya kiutu wilaya ya Arumeru, Mkoani Arusha wameandamana na kufanya kikao na Diwani wao wa kata hiyo Malaki Marambo Kwa lengo la kushinikiza kumkataa Mwenyekiti wao Hashim Saitabao...
Hivi sasa nchini kwetu imekuwa ni jambo la kawaida sana kusikia Polisi wamemkamata Mbunge fulani wa upinzani na kumweka ndani Polisi na baadaye kumpeleka mahakamani na kumfungulia mashitaka ya...
Uongozi wa ACT Wazalendo umekamilika kuanzia chini hadi juu kabisa
Cha ajabu Zitto Kabwe ameendelea kuwa msemaji mkuu wa Chama
Ngoja niipitie Katiba yao kwanza 🐼
Poliosi wazuia mikutano ya Chadema nchi nzima Saturday, 27 November 2010 06:41
IGP Said Mwema
Waandishi Wetu
HALI bado si shwari baina ya Jeshi la Polisi na Chadema baada ya chombo hicho cha...
Tafakuri Jadidi:
Ninapotafakari Alichosema Mzee Warioba?
Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba jana ameongea mbele ya Wahariri wa Vyombo Vya...
Kweli tumetoka mbali sana kisiasa jamani.
Huyu mlinzi wa raia na mali zake aliwezaje kuwa na ujasili wa kumtamkia mgombea ubunge kuwa hata afanye nini kamwe hawezi kuupata huo ubunge?
Kumbuka...
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM umelaani vikali mauaji ya ndugu Michael Kalinga.
Ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa UVCCM Tawi La Machinjioni Makongorosi...
Ni ushauri tu maana kwa mfano Dar es salaam au Dodoma walipigana Vita gani
Kadhalika nasisitiza sherehe za Mapinduzi Zanzibar ziwe za kudumu kwa sababu ni kumbukumbu ya damu za mashujaa...
Na Mwandishi Wetu
MAITI ya kada na wakala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyepotea wakati wa uchaguzi wa Igunga imeokotwa katika pori la Magereza ikiwa imeharibika vibaya.
Kwa...
Siasa bora ni zile zinazolenga maslahi ya wananchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Zinahakikisha utawala bora, uwazi, na uwajibikaji. Baadhi ya sifa za siasa bora ni:
Utawala Bora: Serikali...
Salaam Wakuu,
Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya...
Kwa mujibu wa takwimu za Bodi ya takwimu ya Uganda,Tanzania imetajwa kuwa Nchi iliyoongoza Kwa Uwekezaji Nchini Uganda ambapo zaidi ya asilimia 80% ya wawekezaji wa Kigeni walitoka Tanzania...
Tanzania ni nchi ya maajabu sana vyuo vimejaa siasa. Mtanzania mzalendo kama Salim Bakhresa sijasikia vyuo vikitaka kumpa PHD ya heshima badala yake inawapa wanasiasa ambao hawana sifa.
Salim...
NIPO SALAMA ndugu zangu Baada ya TUKIO la KUWATOROKA Waliojiita POLISI, Pale Landmark Hotel, Ubungo, Dar es salaam. "Kama Magaidi Wanakamatwa kwa namna ile, Nadhani kuna shida kubwa kwa Vyombo...
South Sudan, ripoti ikionyesha uchumi wao utakuwa kwa 27.2% kufikia 2025, japo katika 2024 inflation yao ni 120%
Libya, wikitarajiwa uchumi kukua kwa 13.7%, inflation iko 2.4%
Senegal, uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.