Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb),ameshiriki maadhimisho ya miaka 50 ya uhusiano baina ya Tanzania na UAE yaliyoandaliwa na Chuo cha...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum. Idara Maalum inajumuisha: (A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU (B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Uadui na uhasama unaoendelea ndani ya CHADEMA hasa miongoni mwa viongozi waandamizi wa chama hicho, ni hatari kwa afya na uhai wa wanaopigana vita ya maneno na chama chenyewe kwa ujumla...
1 Reactions
27 Replies
747 Views
Habari wanajamiii forum, ! Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana kuwapata afadhili ukachukue jembe...
0 Reactions
5 Replies
171 Views
Wanabodi, Leo kuna SMS nimetumiwa, niliposema humu kuhusu hiyo SMS imeleta kizaazaa na kutoleana maneno mabaya hadi baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru Mungu. Kuwa kitendo cha...
9 Reactions
51 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mimi huwa sipendi unafiki wala kumfariji mtu wala kuzunguka zunguka.Mimi huwa nasema ukweli hata kama ni Mchungu kwako. Binafsi nimefarijika sana na Hatua ambazo Jeshi la...
2 Reactions
97 Replies
3K Views
Wakuu, Mwakani kazi ipo, kama watu kama hawa ndio wanaongoza wengine kugombea nafasi mbalimbali za kuwakilisha wananchi! ==== Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Hassan Kisabya Almas amesema kuwa...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Kama umemsikiliza vizuri Jaji Warioba utagundua hakuna sehemu yoyote amewatuhumu CCM kwa jambo lolote. Hoja za Jaji Warioba zimelenga Serikali na Upinzani ambako Chadema ndio Chama kikuu. Kuna...
2 Reactions
15 Replies
731 Views
Swali. Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda? My Take Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Huu ndio ukweli mchungu wapendwa watanzania na hasa wale wanaaojiita wana CCM! Kama kuna mwana CCM anataka kujua jinsi ya kuwa mwana CCM wa kweli awatafute Jaji Joseph Sinde Warioba na Mzee...
3 Reactions
15 Replies
828 Views
Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha...
0 Reactions
2 Replies
236 Views
Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu...
6 Reactions
132 Replies
9K Views
MBUNGE RUHORO AKABIDHI VYETI VYA MAFUNZO YA UDEREVA KWA VIONGOZI WA CCM ZAIDI YA 150 Ngara; 2/12/2024 Kufuatia kukamirika kwa mafunzo ya Udereva yaliyo tolewa na Chuo cha Lake Zone Driving...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya. Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye...
28 Reactions
202 Replies
3K Views
Wanabodi. Naanza na kanuni ya haki duniani inayoitwa "the presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani, na mahakama...
92 Reactions
885 Replies
95K Views
Wakuu, Hivi vyama vya upinzani vilikuwa wapi kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuanza? Yaani Uchaguzi umeisha ndo wanaanza kutoa maoni? Maoni haya yana umuhimu gani sasa hivi kama CCM...
2 Reactions
5 Replies
443 Views
Aisee nimeshangaa sana huyu ticha wangu, Pia nashindwa kujua pia kwa nini kuna mchanyato sana? Utakutana na katibu tawala Darasa la saba, katibu tawala Form 4, katibu tawala Form six leaver...
27 Reactions
85 Replies
12K Views
Ndugu watanzania wenzangu wavuja jasho wa nchi hii, hiyo sauti mnayoisikia ni ya katibu tawala DAS wilaya ya Mbongwe mkoani Geita akiiba mafuta ya serikali kwenye moja ya vituo vya mafuta...
44 Reactions
249 Replies
15K Views
Salaam, Shalom!! Niliwahi kuandika thread isemayo, Wabunge wafanyabiashara matajiri wanasimamia Maslahi ya nani bungeni? Haijaisha miezi SITA tangu kuandikwa thread hiyo, tayari Kuna tetesi kuwa...
22 Reactions
92 Replies
4K Views
Back
Top Bottom