Wakuu,
Kumbe viongozi wa CCM upande wa serikali za mitaa walikuwa wanauza kiholela viwanja vya wananchi na mlikuwa hamsemi?
Naona CCM sasa wameanza kujiumbua wenyewe hadharani kwa kusema mambo...
Watendaji wa Taasisi ya Mpango wa hiyari wa Kujitathmini katika vigezo vya utawala Bora wa Umoja wa Afrika (APRM) kutoka Tanzania na Namibia wamekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Katiba...
Mwenyekiti wa Chama cha Kijamii CCK, David Daud Mwajojele, amesema uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji ulifanyika vizuri.
Soma pia: Uchaguzi 2020 Chama Cha Kijamii(CCK)...
Kwema Wakuu!
Mwezi wa tano mwaka huu nilikuwa maeneo ya Kigoma. Kwa usafiri wa Basi kutoka Kigoma Mpaka DSM ni mbali Sana. Hayatapungua Masaa 20 ukiwa njiani unaugulia maumivu ya mgongo na kiuno...
Wakuu,
Mnakumbuka kuna uzi niliweka kuwa baadhi ya waliomteka Bonge wanajulikana stendi ya Magufuli na wala siyo siri?
Huyo Benk ni anajulikana vizuri hapo almaarufu kama Tall, baada ya tukio...
Ikumbukwe hata mpigania Uhuru na baba wa taifa Mwalimu Nyerere ametokea kabila dogo la wazanaki kwa akina Genta🤣
Mchungaji Mtikila alitokea Upangwani huko porini kabisa
Ni kama namuona...
1. Kundi la watu wote ambao hawakuweza kumudu gharama za masomo ya elimu juu,serikali ya chama cha mapinduzi ikachukua jukumu la kuwasomesha tena kwa kutumia gharama kubwa,leo mnatumia usomi...
Polybius, Mwanafilosofia wa kale wa Ugiriki na baadaye mfungwa wa Roma kisiasa aliyeishi karne ya pili kabla ya Kristo alichukua muda mrefu kujifunza mifumo ya serikali na historia yake katika...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Geita Mjini kimetangaza kutoshiriki uchaguzi wa marudio wa nafasi ya Mjumbe wa kundi mchanganyiko katika Mtaa wa 14 Kambarage, kikilalamikia...
KIJANA MASKINI UNATAKA NYOTA YAKO ING'AE KISIASA NA WAKUBWA WAKUCHAGUE. HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuna vijana maelfu kwa maelfu wapo kwenye siasa miaka na Miaka...
Ndugu zangu watawala, huu utekaji, utesaji na mauaji vinavyoendelea kushamiri katika nchi hii vinaligawa Taifa letu kimakundimakundi.
Hali hii pia inajenga chuki katika Taifa. Mimi naomba...
Wakuu , natanguliza salamu .
Mimi ni kijana Mtanzania wa kuzaliwa , Msomi ( namiliki digrii mbili na sidaiwi hata senti 5 na bodi ya mikopo ) na ni mfanyabiashara wa kimataifa
Nachukua fursa...
Ni machungu kiasi gani kwa familia za waliopotea au kuuwawa kwenye kadhia hizi za kisiasa?
Ni familia ipi inaweza kuhalalisha unyama huu kutokea katika familia yao?
Imekuwa ni kawaida watu...
Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia...
Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna...
Nimemsikia mkapa akisema enzi zake za uongozi aliwahi agiza baraza la usalama la Taifa wafanyie vikao vyao dodoma.
Sijawahi sikia kitu kinaitwa baraza la usalama la Taifa kwa Tanzania...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango akiwa kwenye foleni ya kupiga kura katika Kijiji cha Kasumo, Kata ya Kajana, wilayani Buhigwe leo Novemba 27,2024 akiwa ameambatana na mkewe Mbonimpaye...
Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, huhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa...
Leo Jumatatu Desemba 2, 2024 Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imetupilia mbali maombi ya mawakili wa upande wa utetezi yaliyotolewa na mawakili Boniface Mwabukusi na Philip Mwakilima kwa...
Rais Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.