Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa...
11 Reactions
163 Replies
7K Views
Mara kadhaa linapotokea tukio la utekaji bila ya uwepo wa ushahidi wa Video Polisi wamekuwa wakisema wahusika ni watu wasiojulikana mfano Tukio la mzee Kibao, Abdul Nondo na wengine wahusika...
1 Reactions
5 Replies
362 Views
Wakuu, Nina swali,Je Jaji warioba ana hisa katika Kampuni ya Celtel? There is a story I have here mpaka naanza kuogopa. Inasemekana alikuwa ni mmoja wa watu wa kwanza kuwa wajumbe wa Bodi ya...
3 Reactions
102 Replies
12K Views
Kuna msemo wa Kiswahili ambao Masikini wanautumia sana, unasemwa hivi, "ukiwa muongo usiwe msahaulifu" Msemaji wa Polisi Nchini Tanzania anasema kwamba aliyekuwa anatafutwa "kutekwa" siyo Lusako...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Mohammedi Kawaida .Kwa uchungu,maumivu,simanzi ,majonzi na huzuni isiyopimika wala kuelezeka. Ameshiriki na kuhusika katika shughuli zote...
4 Reactions
68 Replies
3K Views
Kuna namna tulikosea katika mchakato wakuandaa viongozi. Wakina Mzee Warioba walipoamua kujiweka kando baada ya mwalimu kung'atuka ilikuwa kosa kubwa sana. Nchi haikuhitaji urais wa majaribio...
2 Reactions
3 Replies
188 Views
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mangula, Halmashauri ya Mji wa Makambako, Sunday Chungwa, kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameahidi kushirikiana kwa karibu na wananchi wa mtaa...
0 Reactions
0 Replies
183 Views
Tegeta kwa Ndevu jijini DSM. Watu waliojitanbulisha kuwa ni maafisa wa TRA wakiwa kwenye gari aina ya Toyota Landcruizer, wameblock gari binafsi aina ya BMW X6 yenye namba za usajili T 229 DHZ na...
0 Reactions
5 Replies
450 Views
Aiseee ukisikia top down effect ndiyo hii. Kinachofanyika juu kinashuka na kuigwa chini, WE ARE DOOMED, it is just a matter of time TUNAENDA KUSAMBARATIKA KABISA, Angalia hii video kwa makini...
32 Reactions
390 Replies
46K Views
Wakati Mchengerwa anatoa taarifa ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa alisema kati ya wagombea wa waliopitishwa bila kupingwa ni wangapi walishinda kwa kupigiwa kura nyingi za NDIYO na...
0 Reactions
1 Replies
178 Views
Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Huenda uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ukatenguliwa wakati wowote kuanzia sasa kwa kile kinachodaiwa kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utoaji wa...
14 Reactions
62 Replies
6K Views
Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
6 Reactions
31 Replies
916 Views
Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo...
4 Reactions
32 Replies
921 Views
Uchawa umeondoa utu, kufukuzia teuzi na pesa kumefanywa kipaumbele. Kila chawa anajitahidi kwa kila namna kumfurahisha kiongozi wake iwe Serikalini, CCMuni, CHADEMAni au mitaani. Haijarishi...
1 Reactions
1 Replies
204 Views
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, amewataka wanajeshi kuepuka kuingilia siasa, akisisitiza kuwa kazi yao ni kulinda usalama wa nchi. Akizungumza na wanahabari Disemba 4, 2024...
20 Reactions
124 Replies
6K Views
Nitoe Rai kwa jeshi la polisi pamoja na yote upepo unaopita kwa sasa kwenye nchi yetu sio mzuri! Badilisheni namna ya kumkamata mhalifu kinyume chake wananchi wataanza kujihami kwa siraha yoyote...
7 Reactions
17 Replies
778 Views
Kama katiba pendekezwa ya Jaji Joseph Warioba ingepitishwa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete angeingia kwenye historia ya kuiletea Tanzania katiba ya kimageuzi! Kama hiyo katiba ingepita, ingemweka...
7 Reactions
34 Replies
1K Views
Chawa wana sifa kuu mbili. Kwanza, ni wanyonya damu. Na pili, hawawezi kuishi bila kuwapo uchafu .Je, Rais Samia alipotangazia dunia kuwa 'waaacha machawa wangu' alijua madhara yake? Je, hakujua...
0 Reactions
2 Replies
284 Views
Dkt. Benson Bagonza Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe alikuwa akihojiwa na Mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu ambaye alimuuliza " Baba Askofu ningependa nikuulize, wewe umekuwa ukitoa mawazo...
65 Reactions
110 Replies
8K Views
Back
Top Bottom