Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Je, wajua kwamba Chadema kwenye kanzi data yao ina wanachama wasiozidi 450,000 nchi nzima. Hivyo, ukitazama ndani ya miaka 32 ya kufanya siasa nchini CHADEMA inasajili wanachama 14,062 tu kwa...
2 Reactions
22 Replies
714 Views
Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo...
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Ingetokea Leo kibaka YOYOTE mzoefu popote ulipo akakwapua simu ya mtendaji wa kata Leo angepiga bingooooo. Leo ndo Leo wale wote walioshiriki kusimamia uchaguzi wa serikali ya MTAA ULIO ipa ccm...
0 Reactions
4 Replies
413 Views
Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
26 Reactions
217 Replies
7K Views
Wakuu, Najiuliza hivi nu kwamba wananchi wamewachoka viongozi wa serikali au wameichoka serikali maana yanayotokea kwa sasa ningekuwa kaka Luka ningebubujikwa na machozi. Yani imefikia kipindi...
10 Reactions
13 Replies
863 Views
Wakuu, Hizi failed attempts za utekaji na episodes za uvamizi uvamizi usio na akili unaofanywa na vikosi vya serikali ni mkakati bunifu wa ndani unaolenga kuliondoa taifa kwenye kujadili, kukemea...
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameandika Ukurasani X akiwasihi Wabunge walionusurika ajalini Wasome maoni ya Wananchi kwenye mitandao ya kijamii Lema amesema Jamii...
13 Reactions
57 Replies
3K Views
Nakumbuka Mzee Tuntemeke Sanga aliporudi nchini kutoka ughaibuni akaulizwa na Mwalimu unataka cheo gani? Akasema Urais. Akapelekwa kizuizini kwao. Mzee Christopher Kasanga Tumbo alipopishana na...
4 Reactions
9 Replies
473 Views
Hali ya wasiwasi wa kutekwa imetanda nchi nzima, hasa kama wewe ni mtu mwenye akili huru na una utashi wa kuchambua mambo na kuyapima. Tulishuhudia Ali Kibao akitekwa kwenye basi lenye abiria...
2 Reactions
5 Replies
372 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es salaam Ndugu Elihuruma Mabelya amekabidhi pikipiki 25 kwa Maafisa ugani wa Kilimo Jijini Dar Es salaam, akihimiza kutumia pikipiki hizo katika...
1 Reactions
7 Replies
410 Views
TAARIFA KWA UMMA UZINDUZI WA MIFUMO NA KIFURUSHI CHA TOTO AFYA KADI (TAK) Desemba 06, 2024, Dodoma 1. Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb) anatarajia kuzindua Mfumo wa uandikishaji Wanachama...
3 Reactions
1 Replies
346 Views
Wakuu, Mwanaharakati na mwanamitandao maarufu nchini Martin Maranja Masese amedokeza Wakili maarufu Tanzania Peter anashikiliwa na Jeshi La Polisi. Wakili Madeleka anashikiliwa na Central Police...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa inayosambaa kwa sasa , kwamba Robert Gabriel ambaye ni RC wa Mwanza amefanya fitna ili Mwandishi wa Habari Mabere Makubi aondolewe ITV , Taarifa zinadokeza kwamba Mtukufu Mkuu wa...
19 Reactions
76 Replies
9K Views
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Tanzania huenda ndio nchi Pekee ambayo Wazee ndio wanapigania Taifa/ Wazee ndio wana uchunhu na nchi, wazee ndio wanao umia kuona ncji inaelekea kusiko, Huku vijana wakiwa nyuma ya keybord au...
3 Reactions
12 Replies
645 Views
Tumemsikia waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba, hakufurahishwa na mazonge yaliyofanywa na ccm ktk uchaguzi wa S/MITAA. Na akenda mbali zaidi aklaani tabia ya ccm kutumia vyombo vya dola...
0 Reactions
9 Replies
523 Views
Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba. Swali langu moja tu hamjiulizi JPM yupo wapi na aloe mjibu wazee wanawashwa washwa yupo wapi Alie...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya...
8 Reactions
92 Replies
4K Views
Wakuu, Kuhusu sakata la kupigwa kwa viongozi wa TRA waliodhaniwa kuwa ni watekaji, Jumanne Muliro ambaye ni Mkuu wa Polisi Dar Es Salaam amesema: "Nakemea vikali tabia hiyo na tabia hiyo...
6 Reactions
88 Replies
4K Views
Wanabodi, Baada ya pilikapilika za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi imeendelea na mchakato wake wa kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura Makamu...
0 Reactions
5 Replies
390 Views
Back
Top Bottom