Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea.
Akiomba Mwongozo kwa Naibu Spika...
Ili aendelee kuwa Mwenyekiti wa Uvccm hakutakiwa kuzidi umri wa Miaka 30 kwa utaratibu wa wakati ule (Niko tayari kusahihishwa), labda Wabadili kipindi hiki.
Baada ya kuona Umri unamtupa Mkono...
Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani.
Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na...
Mwl. Nyerere alishituka Ile 80% waliokataa vyama vingi nchini. Sio wananchi ni viongozi makada wa CCM ndio waliokataa mifumo ya kidemokrasia hadi leo?
Je ni maelekezo au ni Falsafa ya 4R kutoka...
Kamanda Muliro amesema jeshi la polisi linamshikilia Dereva aliyepiga kelele za kutekwa na kusababisha Wananchi kuwashambulia Watumishi wa TRA
Dereva huyo anashikiliwa kwa sababu za kiuchunguzi...
Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.
Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
Rwandan news agency criticizes Tanzanian government`s big brother role
BBC Monitoring Africa
May 29, 2013
Text of report entitled President Kikwete says Rwanda territory was part of Tanzania in...
Nitashanga na nitajiuliza mara kujiuliza kama kuna mwana ccm au mtu yeyote atamjibu Mzee Warioba.
Pili sio kila Mzee ni wakumjibu Jaji Warioba ameona mengi na anonyesha amekuwa kiongozi alie...
Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala.
“Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari...
Ukiona Marathon Utasikia Samia
Ukiona Bonanza Utasikia Samia
Ukiona tuzo au tamasha la muziki Utasikia tamasha. Na aina zingine nyingi za matamasha Kwa mgongo wa jina la Rais.
Maswali.
Je, hii...
Hapa namzungumzia zaidi Professor Palamagamba Kabudi. Huyu nguli wa sheria amekuwa ni mtu wa kuteuliwa na kutenguliwa au kuhamishwa na kurudishwa alikotoka na kuhamishwa tena kwenda kwingineko...
HIi nchi tuna pesa ya kuchezea, kuna wakati vyeo vinatolewa siyo kwa sababu eneo hilo linahitaji mtu, bali kwa sababu kuna mtu fulani anatakiwa apewe uongozi, ndipo nafasi inatengenezwa.
Fikiria...
Jambo wana Jamii Forums,
Natarajia mu wote mko poa sana. Leo ningependa kujadili kidogo kuhusu historia ya siasa ya Tanzania. Siasa ya Tanzania imeshuhudia mabadiliko mengi tangu nchi ipate uhuru...
Habari zilizotufikia ni kwamba Mwanasheria Mkuu wa Tanzania, Jaji Mark Bomani amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Septemba 11, 2020, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Mtoto wake amethibitisha...
Kuna mtindo mpya wa polisi napengine idara zingine za usalama kuvizia, kukimbiza raia wenye tuhuma za makosa. hata high profile citiezen ambao wangeweza kupigiwa simu na wange report kituoni bila...
Jaji Warioba akiongea na waandishi wa habari leo Desemba 4 amesema haya
Ukiona mjadala wote uliofanywa tangu 2019 mpaka sasa, na imani iliyokuwapo kwamba uchaguzi wa mwaka huu (2024) hautofanana...
Wakati kwao wewe linaweza kuwa jambo la kawaida kuona Shule zikiwa karibu yako, kwa wakazi wa kata ya Nyamagoma shule ya Sekondari ilikuwa inapatikana umbali wa zaidi ya Kilomita 40 ambazo watoto...
Baada ya kusoma maoni ya baadhi ya wenzetu humu ilipotangazwa ajali ya gari iliyowahusisha wabunge, nimepigwa butwaa na kuibua maswali.
Mosi, kwanini wabunge wanachukiwa hivi?
Pili, wafanye nini...
Viongozi na wanachama 6 wa CHADEMA Ngazi ya Kata ya Muganza akiwemo Tumain Petro, Mwenyekiti BAVICHA wa Sasa wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa tafrija ya Kusherehekea kukamirika kwa...
Salaam, Shalom!!
Nimekaa hapa natafakari, kipi Hasa ni Rahisi,
1. Umma wa Watanzania unadai viongozi waliopo IGP, Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni wajiuzulu au wafukuzwe nafasi zao Kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.