Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu, 1. Selemani Jumanne Zedi - MBUNGE WA BUKENE Utangulizi Mbunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora. Alishinda uchaguzi wa 2020 kwa kura 16,920. Aliwashinda wapinzani, wakiwemo Steven...
1 Reactions
0 Replies
581 Views
Yaaan ukifika banana panda kwenda kivule aisee. Kuna lami wamekula wajanja yaaan wanatengeneza vipande wanafika Sehemu ya Kilomita zaidi ya 7 hakuna njia mashimoo tupu. Unakuta lamiii tena hawa...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
KATIKATI YA MAJONZI: Ndiyo Nagutuka kuwa Tuliyempoteza ni Shujaa Aliyepitwa na Wakati! Anaandika Peter Simon Msigwa Sitaki kuwabishia wale wanaomwita Shujaa. Tofauti yangu na wao ni fikra tu...
105 Reactions
260 Replies
24K Views
JPM kwenye Utawala na Demokrasia Julius Kambarage Nyerere, baba wa taifa la Tanzania, alijenga msingi wa utawala wa kidemokrasia nchini. Hata hivyo, utawala wa John Pombe Magufuli (JPM)...
0 Reactions
8 Replies
425 Views
Uchaguzi wa serikali za mitaa umepita yaliyotokea tumeyaona na yametoa muelekeo mpya kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Kwa viongozi walionao kuanzia katibu mkuu,naibu katibu mkuu na katibu mwenezi CCM...
1 Reactions
8 Replies
419 Views
Wakuu, 1. Saashisha Elinikyo Mafuwe – MBUNGE WA HAI Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Elimu: Uduru Primary School (1991-1997) Kivukoni Secondary School (1999-2002) St. Augustine University...
1 Reactions
0 Replies
666 Views
Wakuu, Mambo yameendelea kukorogeka huko Arusha. Hayo ni maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha mapema siku ya Jumatatu Desemba 9, 2024...
20 Reactions
149 Replies
5K Views
Navyomjua mwalimu wangu kwa mudaa huu anakaa sana sebuleni kuangalia michezo ya kuigiza na kuwauliza watoto wake. Hapa yupi ni Bamboo? Yupi ni Kingwenduh? Rayvanny ni yupi kati ya hawa? Lwiza...
9 Reactions
11 Replies
406 Views
Afya ni Mtaji kwa Binadamu yoyote madhali Tu huyo Binadamu anapumua Kwa Nchi zinazoendelea Tanzania ikiwepo BIMA ya Afya kipaumbele kwa Wananchi wote Kwa Tanzania Wananchi wengi wanaishi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Ndugu zangu nielewesheni inawezekana nina tongo tongo ila naona kama kuna jambo halipo sawa na kama lipo sawa basi naona kuna shida ktk katiba yetu. Kwa mujibu wakatiba Tanzania ni muunganiko wa...
11 Reactions
52 Replies
2K Views
Wakuu, 1. Issa Ally Mchungahela - Mbunge wa Lulindi Chama: CCM Muda wa Uongozi: 2020-2025 Nafasi Nyadhifa Alizowahi Kushika: Mjumbe wa Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira (2021-2023)...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Mambo yaendelea kuripoti matukio mbalimbali yanayoendelea mtaani kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo Katika Kata ya Mapinga, mmoja wa wapiga kura amesema, wazee wamepewa kipaumbele. Soma...
0 Reactions
2 Replies
214 Views
Taarifa ndio hiyo inayotembea ndani ya wana CCM kindaki ndaki. Ni kwamba 2025, rais Samia itabidi apite kwenye kichujio kwa chama kuruhusu wagombea wengine wachukue form kwa ajili ya kuomba...
30 Reactions
203 Replies
9K Views
Wakuu, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa...
14 Reactions
302 Replies
22K Views
Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI. Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Kwamba sasa hivi ndugu yako akiitoweka na watu wasiojulikana hautamuona tena au utakutana na maiti yake. Mbona hapa kwetu haya mambo hayakuwepo? Hata kama yalikuwepo sio kama hivi. Style ya...
3 Reactions
9 Replies
413 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) amewasili na kupokelewa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
0 Reactions
1 Replies
261 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi...
0 Reactions
12 Replies
673 Views
Muda mfupi uliopita Ufm wamekatisha taarifa ya habari kutoka VOA walipoanza kutangaza habari za Tanzania kutoheshimu haki za binadamu. Huu ni ujinga uliopitiliza. CCM na serikali yake wanajitahidi...
12 Reactions
32 Replies
1K Views
Ni kama ambavyo Wagalatia hawawezi kuacha kuadhimisha Siku ya Ijumaa Kuu na Pasaka 12 January zinakumbukwa roho za Wapambanaji walioifanya Zanzibar iwe Ngangari hadi Leo hii Nimeona nitoe...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Back
Top Bottom