Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Muonekano wa nje wa jengo la zahanati ya Kijiji cha Kilindi Kata ya Matiri Wilaya ya Mbinga vijijini Mkoani Ruvuma Mtibabu anakaa hapo chumba cha kwanza. Ni kiasi gani Samia kaelekeza Ruvuma...
26 Reactions
93 Replies
4K Views
Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama...
22 Reactions
59 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni tupeane Raila Odinga: "Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to...
0 Reactions
1 Replies
142 Views
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema kulinganisha Kung'atuka kwa Nyerere na Kutong'atuka Viongozi wa Chadema siyo sahihi kabisa Mbowe amesema Nyerere alikuwa Mtumishi wa Umma anayelipwa...
3 Reactions
19 Replies
721 Views
Salaam!! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga. Zimefanyika sherehe mbali mbali ambazo kwa nafasi yake alitakiwa...
13 Reactions
77 Replies
8K Views
Wakuu, 1. Muharami Shabani Mkenge: Mbunge wa Bagamoyo Nafasi ya Sasa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
2 Reactions
3 Replies
602 Views
Serikali imezindua rasimu ya Dira ya Taifa ya mwaka 2050 ambayo pamoja na mambo mengine inalenga kufanya Tanzania Nchi ya Kipato Cha Kati Cha Juu yaani Upper Middle Income County ambapo National...
0 Reactions
19 Replies
921 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mimi kila siku huwa naangalia na kusoma vitu anavyopost na kuandika mitandaoni Tajiri Nambari Moja Duniani Elon Musk kupitia mtandao wake wa Twitter maarufu X. Ambapo...
9 Reactions
96 Replies
4K Views
Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa? Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za...
3 Reactions
74 Replies
2K Views
Kwako Mhe. Rais, Mhe. Rais wetu mpendwa, Suluhu Hassan, Nakupongeza kwa jinsi unavyo tujali watanzania, na roho yako ya upendo, kama ulivyosema unatumia maneno ya mama. Siku zote mama uwa na...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Niliposikia pongezi toka kwa mgombea wa chama tawala aliyeshindwa uchaguzi mkuu wa kule Ghana akimpongeza mpinzani aliyeshinda ikanifanya nikumbuke kwamba Ghana iliwahi kuongozwa na kiongozi...
2 Reactions
6 Replies
380 Views
Wakuu, Sarakasi za kuelekea Uchaguzi Mkuu zimeanza rasmi. Sasa hivi kuna watu wameshaanza kujitengenezea njia za kuwa wabunge na viongozi mwaka 2025 na mmojawapo ni mume wa Zamaradi Mketema...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Jesca Jonathan Msambatavangu – Mbunge wa Iringa Mjini Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kura katika Uchaguzi wa 2020: 41,401 (alishinda dhidi ya Peter Msigwa wa CHADEMA) Elimu: Shule ya Msingi...
1 Reactions
0 Replies
478 Views
1. Mbunda Jonas William - MBUNGE WA MBINGA MJINI Chama: Chama cha Mapinduzi (CCM) Kura: 26698 (2020) Elimu na Taaluma Yake Strathclyde University, UK: Master of Science in Finance (2005–2006)...
1 Reactions
0 Replies
337 Views
1. Kundo Andrea Mathew - Mbunge wa Bariadi Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Alishinda Kiti: Mwaka 2020, kwa kura 92488 dhidi ya Maendeleo Bernard Makoye (CHADEMA) aliyepata kura 33339 Elimu Yake...
1 Reactions
0 Replies
291 Views
Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
Kuna watu wanaifananisha Chadema na NCCR Mageuzi, wanaifananisha Chadema na CUF wengine wamefikia kuifananisha Chadema na ACT Wazalendo, hawako sahihi hawajui historia yake. Chadema haikufika...
54 Reactions
154 Replies
14K Views
Wakuu, 1. Samweli Xaday Hhayuma – Mbunge wa Hanang Chama Cha Siasa: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Matokeo ya Uchaguzi wa 2020: Samweli alipata kura 14,203, akimshinda Kiza Hussein Mayeye kutoka...
2 Reactions
0 Replies
297 Views
Wakuu, 1. Ezra John Chewelsea – Mbunge wa Biharamulo Magharibi Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kura katika Uchaguzi wa 2020: 40,526 (alishinda dhidi ya Mbelwa Petro Zimbia wa CHADEMA) Elimu...
2 Reactions
1 Replies
623 Views
Back
Top Bottom