SHEREHE ZA UHURU HAZIPASWI KUFUTWA. SIKU YA UHURU NDIO MSINGI MKUU WA TAIFA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ni makosa makubwa na yakimkakati kufuta SHEREHE za Uhuru.
Viongozi lazima waelewe...
Wakuu,
Kwa press hii ya Lissu si siri tena kuwa CHADEMA kuna mtufuano wa maana. Yaani Lissu kaamua kuchomoa berti. Kwa hatua hii msituambie kuwa hapa wamapenga, ndani hakuna shida, kwa hizi spana...
Hii Kitu imenishangaza sana kwanini Mtu mmoja awe ndio mtafutaji wa Fedha za Chama na mpanga matumizi!
Akina okwi boban sunzu ufafanuzi tafadhali hakuna Idara za Uhasibu Mapato na Matumizi hapo...
Frederick Sumaye ameita waandishi wa habari leo Jumatano Desemba 4, 2019.
Sumaye ameitisha mkutano huo siku chache baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani.
Licha ya...
MAAZIMIO YA KAMATI KUU
Baada ya kutafakari matukio hayo na mengine, Kamati Kuu ya Chama imeazimia mambo yafuatayo;
1. Kamati Kuu inatamka kwamba kilichotokea tarehe 27 Novemba, 2024 hakukuwa na...
Kwenye vipindi tofauti vya Kitenge WCB na Crow Media leo siku nzima ni matangazo ya tamasha linaloitwa la kumuenzi marehemu bibi Titi Mohamed kesho sasa tujiulize.
Bwana waziri ana ukwasi kiasi...
Alitangazwa wa Chadema, baadaye usiku akatangazwa wa CCM. Sasa wazee wa kimila Arusha masai wamesema wao hawana polisi, ni wa kwao, Mahakama ni zao, TISS ni yao. Kimbilio lao ni kuvunja chungu...
Kumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo.
Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo?
Naona kama CCM wananena Kwa...
Serikali imeendelea kuwashika mkono wachimbaji wadogo
Katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa kununua mitambo midogo mitano (5) ya uchorongaji...
PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA!
“Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, akiwa Mjini Zanzibar, amekutana na kijana wa kazi, muadilifu sana na kada mtiifu wa Chama hicho Maranja Masese.
Masese na Mbowe wamepata wasaa wa...
Hakuna haja ya kujipiga kifua, kujidanganya na kuhadaa umma eti chadema hakuna mgawanyiko wala mafarakano na vita ya chini kwa chini miongoni mwa viongozi wake wa andaminizi, hasa kambi ya...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977. Katika mfumo wa kisiasa wa nchi, Mwenyekiti wa CCM amekuwa akichukuliwa kama...
Kesho tukijaliwa Tundu Lissu atafanya mkutano na waandishi wa habari.
Ukumbi wa mkutano utatangazwa baadae.
Ajenda kuu ya kikao chake ataisema kwenye kikao.
Update
Ukumbi ni Mlimani City
Muda...
Kiongozi mwandamizi wa UVCCM Mkoa wa Singida Cde Ng'wigulu SHIGELA amewatoa hofu wanaodanganywa kuwa CCM haijashinda kihalali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,
SHIGELA amesema matokeo ya CCM...
Kesho mida ya saa moja jioni saa za Afrika Mashariki tunatarajia kuona michuano katika ya wagombea wa nafasi ya Urais wa Umoja wa Afrika(AU) kati ya wagombea toka Kenya, Djibouti na Madagascar...
Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke
Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee...
Wanabodi,
Uendeshaji wa vyama vya siasa nchini, unaongozwa na sheria, taratibu na kanuni. Ikithibitika pasipo shaka kuwa chama fulani, kinakiuka sheria, taratibu na kanuni, kinapaswa...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema kuzuiwa kwa mgombea binafsi nchini kumeifanya Tanzania kuwa na demokrasia ya...
Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.