Lissu hana sifa ya kuwa kiongozi bora, kwasababu huwezi kwenda hadharani kusema madhaifu ya Chama chako wala kuwasema viongozi wa Chama chako hadharani badala yake unatakiwa kufikisha malalamiko...
Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia...
Je wamekumbwa na tatizo gani? Habari ya mwisho ni ile ya mkutano wa Freeman Mbowe. Je, waliishiwa bando, walisahau au nini kimetokea?
Erythrocyte unaweza kuwa na majibu au na wewe ni kama Yericko...
Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Iringa Mjini Mh Frank Nyalusi amesema yuko Dar es Salaam kwa shughuli moja tu ya kuhakikisha Tundu Antipas Lissu anakuwa Mwenyekiti wa Chadema.
Nyalusi amemwambia...
Wakuu,
Kama ulikuwa unajiuliza kwanini Kabudi amechaguliwa kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo hivi leo Rais Samia ametoa sababu ya kumchagua Kabudi kwenye nafasi hiyo.
Rais...
Tangu aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana atofautiane na Mwenyekiti wake na baadae kufukuzwa mwezi wa 7, hadi leo hakijapata mbadala wa kujaza nafasi hiyo.
WanaCCM wengi...
Wakati ambapo rais amemteua Dr. Asha Rose Migiro kuwa mbunge na hatimaye pengine akateuliwa kuwa waziri, kuna fununu kuwa huenda anaandaliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM 2015.
UVCCM...
Huwa siachi kujiuliza. Tangu CCM itekwe na mafisadi, kuna kitu cha maana au kizuri tunaweza kujivunia kama watanzania?
Kila uchao, kuna matukio ya utekaji, tunapotezwa, tunatishwa, na watu...
Uchaguzi unakaribia watu hawataki kuvunja katiba wanamsubiri alivunje bunge waanze kumrarua kutoka pande zote.
Sio ndani ya vyombo vya usalama,
Sio ndani ya ccm wala ndani ya upinzani wote...
Mwandishi Maalum
MWISHO wa utawala unaodaiwa kuwa wa ‘kisultani’ ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) umefikia kikomo ambapo Freeman Mbowe amekubali kuachia wadhifa wa uenyekiti...
Huo ndio Ukweli'
Ndio sababu Mh Tundu Lisu ametuomba sisi Wakongwe tunaopenda Mageuzi tutoe darasa kwa Wote wasioelewa maana halisi ya Demokrasia
Vijana wa Mbowe aliowachukua Chuo kikuu pale...
Mimi ni mfuasi wa mageuzi ndani ya nchi hii ila niseme ukweli wa principle ya dictetor yeyote, watu wanaomzunguka huwa hawamwambii ukweli na uwa wanamkimbia pale maji yakiwa shingoni hivyo natoa...
Wasalaam,
Taarifa nilioipata punde ni kwamba makamu mwenyekiti wa CHADEMA kesho anatarajiwa kutoa hotuba nzito na kisha kujiunga na CCM.
Haijaeleweka kama kalamba asali au ni hiari yake.
Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini...
Salamu wakuu.
Kwanza kabla ya yote napenda kusema samahani sana kwa wale ambao nilikua nawaona hawana akili timamu wanapo iponda serikali yetu.
Ni kweli kabisa kwa mambo yanayofanyika ni too...
Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru.
1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala.
2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake...
Wengine tulijua hamu yenu ya kugeuza maneno ya Lissu kama angalau angemtaja Mbowe kidogo tu.
Sasa naona mitandaoni mnakuja na stori za kuungaunga. Mmeaibikla.
CCM mmekikosa mlichokitaka mkutano...
Kumeanza kuchanganka Boniface Jacob mjumbe wa kamati na mwenyekiti wa pwani Chadema lakini pia ni kijana mtiifu wa Freeman Mbowe ametoa onyo.
Je unahisi ili onyo limepelekwa kwa nani?
Tayari Wagombea wote akiwepo JK wameshawasili.
Dr. Wibroad Slaa bado hajawasili:
==================
UPDATES:
MATOKEO YAANZA KUTANGAZWA KAMA IFUATAVYO:
WALIOJIANDIKISHA: 20,137,303
Waliopiga...
Naona kama kuna jambo linawekwa sawa kabla ya mtu kutimkia chama kingine.
Msigwa pia alianza kwa kutamka kwamba Mbowe lazima aachie uenyekiti, akamshambulia sana, lakini baadae akahama chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.