Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mbowe amekaa kwenye hiyo nafasi kwa muda mrefu na amefanya mengi mazuri na bila shaka kuna mambo hakuyafanya vizuri kama binadamu. Hata hivyo; ni hulka ya wanadamu kutaka mabadiliko hata kama...
5 Reactions
26 Replies
900 Views
Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
2 Reactions
21 Replies
653 Views
Sijui maccm wataficha wapi nyuso zao? Makonda na Samia kama nawaona vile wanavuonuna.
1 Reactions
11 Replies
489 Views
Rais Samia alipoingia madarakani, kutokana na yale aliyoweza kuyatenda mwanzoni, alisifiwa, alipendwa na kuungwa mkono na watanzania wengi wenye akili timamu wenye mapenzi mema kwa Taifa: 1)...
2 Reactions
3 Replies
303 Views
Leo katika maktaba ya siasa nimekutana na ujumbe huu muhimu uliotolewa na Mh January Makamba katika harakati za kuwania tiketi ya kuwakilisha chama chake katika nafasi ya Urais 2015. FUNZO...
1 Reactions
11 Replies
384 Views
Tundu Lissu ameamua kuia CHADEMA kwa mikono yake mwenyewe. Anapita kila kona kukishambulia chama chake hadharani. Ameunda mtandao kukishambulia chama chake. Anasema chama chake kinanuka rushwa...
15 Reactions
86 Replies
3K Views
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith. Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
125 Reactions
357 Replies
19K Views
Niaje waungwana Naona raisi Samia kaendelea kuvuruga serikali yake mwenyewe bila kujua madhara yanayoweza kutokea kutokana na uvurugaji wake huo. Ni kama vile kocha asiejua nafasi za wachezaji...
13 Reactions
107 Replies
5K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, ameonyesha wasiwasi wake juu ya hali ya demokrasia ndani ya vyama vya siasa nchini, akisisitiza...
1 Reactions
2 Replies
304 Views
Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst...
5 Reactions
54 Replies
1K Views
Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani. Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa...
5 Reactions
25 Replies
815 Views
Mimi namwona Tundu Lisu, mtu imara sana, mwanasheria mzuri, mzalendo wa kweli kwa Taifa lake na mtu mwenye misimamo thabiti asiyeyumbishwa. Baada ya kumsikia Jana akitangaza nia ya kugombea...
7 Reactions
88 Replies
3K Views
Kwa point tuliyofika kama nchi kunahitajika mwenyekiti wa chadema kama chama kikuu cha upinzani ambaye yuko tayari kwa mambo yafuatayo ambayo sidhani kama mbowe anayaweza Kukaa jela hata miaka 10...
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Saa 24 baada ya Tundu Antipas Lisu kutangaza kuvunja Utawala wa kidikteta ndani ya Chadema kwa kutia Nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti dhidi ya Freeman Mbowe aka Mugabe, Bavicha na Bawacha...
0 Reactions
3 Replies
195 Views
Nionavyo mimi: 1) Naendelea kusikiliza na kusoma wanayosema baadhi ya vijana wa chama cha siasa, aina ya kauli wanazotumia dhidi yao wenyewe, inasikitisha sana. Hakuna sababu ya kufanya hivyo...
0 Reactions
8 Replies
344 Views
Wakati bado tunaendelea kuomboleza kifo cha mfanyakazi wa TRA, Marehemu Amani Simbayao, Kuna jambo limenishangaza kidogo. Kumbe Mwigulu Nchemba yupo. Maana zaidi ya kumkumbuka ninaposafiri na...
28 Reactions
150 Replies
6K Views
Moja ya kosa kubwa ambalo wafuasi wa CDM watakuja kujutia ni kuruhusu chama chao kujengwa kwa kutugemea majina ya watu badala ya kujenga Taasisi . Leo hii ,Menyekiti kaguswa kidogo tu ,mayowe kila...
1 Reactions
0 Replies
149 Views
Binafsi ningependa Rais ajae atokee upinzani lakini kwa hali ilivyo hata uwezekano mdogo haupo, hatuna budi kumsubiri rais ataepitishwa na chama Tawala. Ni dhahiri Rais Ajae lazima awe mkristo...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Majina kamili ni Profesa Mohamed Yakub Janabi ni mtaalamu wa magonjwa ya moyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Mshauri wa Rais katika masuala ya afya. Profesa amekua...
7 Reactions
47 Replies
3K Views
Serikali imekuwa ikitoa ruzuku kwenye pembejeo ,mbegu nk ili kuhakikisha wakulima wanapata pembejeo,mbegu,mbolea nk kwa bei nafuu.Matokeo yake wafanyabiasahara wamekuwa wakijineemesha zaidi kwa...
1 Reactions
2 Replies
711 Views
Back
Top Bottom