Nchi hii wakiona umewazidi kila kitu umaarufu, ishawishi na uungwaji mkono wanafanya kama walivyo fanya kwa Kolimba, sokoine, chacha wangwe, magufuli nahofia Lisu asiende njia hiyo.
Nilikuwa naitzama hii story sasa hivi kwamba mwaka 1969 fighter jet ya North Korea ilifanya shambulizi na kuleta madhara kidogo kwa jeshi la Marekani, Pacific Fleet.
Halafu rais wa Marekani...
Baada ya tetesi na maneno ya muda mrefu kuwa CHADEMA ni chama cha kaskazini au ni chama cha wachaga Ni muda sasa CHADEMA kutoka nje ya mikono na uangalizi wa wachaga, baada ya Edwin Mtei kuongoza...
Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango...
Jinsi Kampuni ya Pan Africa Power Ltd (PAP) ilivyoichukua Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) bure na kujichotea Dola za Marekani 128 milioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
Muhtasari...
Nadhani msimamizi na muendesha channel ya CHADEMA MEDIA TV na CHADEMA DIGITAL atakuwa amejisahau kuweka clip ya hotuba ya makamu mwenyekiti chadema,Tundu Lissu akitangaza kugombea uenyekiti...
Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya...
Wanabodi,
Kwa maslahi ya Taifa,
should we demand more transparency and the right to information kwenye teuzi za key posts ziwe endorsed na Bunge with a security of tenure?.
Should we adopt the...
Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press...
MAPUTO, Msumbiji: MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme wa Mphanda Nkuwa wenye thamani ya Dola bilioni...
Hongera CDM kwa kuonesha upeo mkubwa wa ki-demokrasia kwa kuwa na mfumo unaoruhusu wanachama kugombea vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa chama.
Huwezi kusikia mwanachama wa CCM...
Hii ni polite exit strategy ya kuondoka chadema.
kubaki kwake chadema ni lazima ashinde uenyekiti taifa. kinyume na hivyo atachukua mkondo mwingine kisiasa.
Ni kwanini atangaze kugombea umakamu...
Hapo bwana Lisu alikuwa anajikosha na kujihami dhidi ya Yale ambayo yatajiri kunako kwenye Uchaguzi,defensive mechanism ya Wanachadema wasimuone kuwa Msaliti pia maana.
Ukimsikiliza ameongea...
Habari za uhakika zinadokeza kuwa ndege ya ATCL namba TC 100 ambayo ilikuwa imeondoka Dar mapema asubuhi hii kuelekea Mwanza ikipitia KIA imepasuka kioo na hadi hivi sasa haijajulikana kama...
Baada ya Tundu Lissu kujitosa kugombea uenyekiti wa CHADEMA ni wazi kutakuwa na mchuano mkali sana endapo Mbowe naye ataamua kugombea tena nafasi hiyo. Huo ushindani hautakuwa na afya kwa CHADEMA...
Tundu Lissu ndiye katuonyesha ujinga wa CHADEMA na ujinga wa wanachama wake.
Wanachadema ni manamba wa mtu, tuseme CHADEMA iliundwa kwa ajili ya Mbowe tu au watu wa kaskazini. Lakini najiuliza...
AFRIKA tuna shida jamani. Sasa inabidi tumwombe Mungu apunguze mvua.
Mitambo inazama majini. Serikali imeshtuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua inanyesha kali viunga hivyo. Wakati...
Ndugu zangu Watanzania, Kila mmoja wetu atumie muda kujiuliza hili swali, Kwan Watanzania tumemkosea nn Mungu? Au tuna laana? Mbona hakuna tunachokiweza?
Tunashindwa kuendesha hata mradi mmoja tu...
Kusema kweli katika siku ambayo nitachafukwa basi ni siku ambayo Mwamba ataamua tena kurudi ulingoni na kugombea muhula wa tano. Nitachafukwa sana niwe mkweli.
Kama kuna siku nitampa Mwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.