Muungano wa Ulaya umeachia orodha iliyoimarishwa ya mashirika ya ndege yanayodhaniwa kuwa hatari, na kuyakataza kufanya kazi ndani ya anga la EU. Sasisho hili la hivi karibuni linajumuisha Air...
Inasemekana,
barua inayelezea kinagaubaga sababu mahususi za msingi za kuahirishwa kwa uchaguzi huo wa ndani Chadema, tayari imewasilishwa na kupokelewa kwenye taasisi mahususi, inayohusika na...
Tanzania imeandaa Dira Mpya ya Maendeleo ya 2050 ambapo utekelezaji wake utaanza rasmi mwaka 2025/26 baada ya kujadiliwa na kupitishwa na Bunge kabla ya Rais kuidhinisha rasmi.
Kwa Sasa Serikali...
Hellow!!
Leo mtaani kulikuwa na shamrashamra za kutosha wakati Mwenyekiti wa mtaa Mteule katika mtaa ninaoishi alipoitisha kikao kuwashukuru wananchi Kwa kumchagua.
Sasa umati uliojitokeza ndio...
Wakuu,
Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu" inamaanisha nini) inamaa gani? Kwamba Steve ni nani mpaka anaongoza ujumbe toka Ikulu?
Wajuvi...
Nimewashangaa sana Chadema kusema kwamba Dira ya Taifa 2050 iangazie mazao machache ya biashara Ili yazalishwe Kwa Tija sanjali na kuangazia Mabadiliko ya kiteknolojia.
Kwa mchango huu ni wazi...
Dunia nzima Kuna vyama vinatawala nchi zao na Kuna watawala. Lakini CCM ni chama Cha kipekee kabisa.
CCM haiwezi kuathiriwa kwa namna yoyote ile na mabadiliko ya Dunia. Kwa kuwa CCM ni chama cha...
Ni kikao chenye Ajenda mbili tu.
Hapa Viongozi wakuu wa Chama Wakisalimiana kabla ya kikao hicho kuanza
Na hapa ni Hotuba ya Mwenyekiti mbele ya Wajumbe wa Kamati Kuu
Usiondoke JF kwa...
Wakuu,
Haya si maneno yangu ni maneno ya mwenyekiti wa chama cha DPP, Philipo John Fumbo.
Fumbo anawaambieni mzae kwa sababu Tanzani ni tajiri.
Maneno haya alishawahi kusema kiongozi mmoja...
Baaada ya uchaguzi wa serikali za mitaa , nimesikia viongozi toka taasisi za kidini hususa Wakikemea mchezo mchafu uliochezwa na CCM. Sijawahi kusikia kiongozi wa dini ya kiislam akikemea rafu...
Please Moderator msiunganishe huu uzi maana mtakuwa mmefeli big time.
First of all naipongeza serikali Kwa kufikiria wazo la kuwasaidia wasanii kuhusu kutibiwa magonjwa ya moyo
Hili wazo sio...
Wakuu,
Hivi haya mambo ya usawa wa kijinsia yatawezekana kweli?
================
Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma SAU, Majaliwa Kyara amesema ili kulinda maadili, kuimarisha malezi na...
Mara zote naunga mkono Serikali kukopa na Kwa kweli Iendelee kukopa Kwa sababu Nchi zote zilizoendelea zinakopa sana.
Hoja ni aina gani ya mikopo? Mikopo ya dizaini hii sikubalini kabisa...
Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa...
Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro.
Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake.
Taarifa...
RAIS SAMIA AZIPANDISHA HADHI RUFIJI NA GEITA.
Na Malick Maliki, Chamwino
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya...
09 December 2024
Maadhimisho ya uhuru wa Tanzania makala maalum
Makala ya Kimataifa by Carlos Mureithi wa:
Gazeti tajwa kimataifa la The Guardian
Tanzania opposition laments its ‘naivety’ over...
wana JF hongereni kwa kusimamia ndoto zenu!
Dg zangu.
Wachambuzi wa matajiri wa marekani, wamemtabiri bilionea ELON MUSK aka GAME CHANGER mmiliki wa Tesla,space X Star link na n.K, atakuwa...
Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa.
Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na...
Nafuatilia kinamna siasa za nchi hii. Ni siasa za kihuni sana. Siasa ambazo wanasiasa wanaamini hawawezi kuishi bila siasa.
Hawawezi kuishi bila kuwa chama tawala. Hawawezi kujitegemea bila Dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.