Kweli ccm ni zaidi ya hatari. Ni wabobezi na welevu wa kila mbinu za ku deal na upinzani in a friendly way bila wao kujua.
Kumbe waliohudhuria ule mkutano wa Tundu Lisu alipokuwa akikinanga chama...
Uncle ningeshangaa kama ungekata tamaa na kuiacha Saccos yetu mikononi mwa wavamizi wasiojua tulipo itoa.
Babu Mtei, mzee Ndessamburo aka Ndessa Pesa walikukabidhi huo mradi uulinde kwa wivu...
Uongozi, hufafanuliwa kama uwezo wa mtu binafsi, kikundi, au shirika wa kushawishi njia mbadala na si kufuata tu njia aliyoikuta hata kama njia hiyo inaelekea kuzimu.
Hatua ya Mbowe naye...
WAANGUKIA PUA
- ni Fatuma karume, Mwabukusi, Kambole, Tito Magoti na wenzao
- walikimbilia CANADA kuishtaki Tanzania kupitia kampuni ya Twiga-Barrick wakitaka walipwe Mabilioni ya pesa
- Jaji...
Wakuu,
Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote.
Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye...
Mdogo wangu Inno pole, wamekushushia zigo lililoshindikana lina uvundo mwingi lakini nakuaminia, wewe hushindwi kwa sababu ndani yako unatawaliwa na Nia njema.
You need to prove kwamba sio wewe...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za...
Mwenyekiti Tume huru ya Taifa ya uchaguzi, Jaji Mbarouk S. Mbarouk amesisitiza kuwa ni kosa kisheria mtu mmoja kujiandikisha jina lake la kupiga kura zaidi ya mara moja kwani kufanya hivyo ni...
2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani.
Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na...
" Kuna lugha ukianza kuongea tunajua huyu mbona sio mwenzetu, Chadema tunajuana".
" Kuna wengine wanasema liwalo na liwe tupasue mtumbwi tugawane mbao "
"Ukianza kuongea mambo yetu ya ndani kwa...
Wanachama wa CCM ndiyo ilikuwa silaha ya ushindi kwa chama chao. Mh lakini ukitupia kwa jicho la tatu je ni kweli wanachama pekee yao au kuna namna ilifanyika tangu mwazoni?
==================...
Najaribu kuwaza pia Mtu ambaye anashawishiwa na M/K "at individual capacity" kwa ahadi ya kutafutiwa kazi Nje ya Nchi, ili aachane na maamuzi yake, akikubali kufanya hivyo, uhuru wake utakuwaje...
Uraisi wake usingepita njia tofauti na ulikopita uenyekiti wa chama.
Katiba ingebadilishiwa gear angani ili kumruhusu kufanya ambayo angeyataka.
Bila shaka hadi leo angekuwa ndiye Rais kwa...
Wakuu,
Siku ya jana akiwa anazungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Boniface Mwabukusi amedokeza kuwa yuko mbioni kufungua kesi dhidi ya vyama 14 vya...
Courtesy: SK Media Online TV
Saga la Tundu Lissu kutangaza nia kugombea nafasi ya uenyekiti CHADEMA (T) ili kumrithi mwenyekiti wa sasa Mh. Freeman Mbowe linaendelea kuzua mjadala ndani na nje ya...
Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua .
Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira...
Ulipoongea na waandshi wa Habari ulisema hizi ni Drama tu na kifo ni kitu cha kawaida.
Ni kweli kifo ni kitu cha kawaida sana kama hayajakukuta.
Swali langu kwako mama ni hili," Ni nani atekwe...
Kesho saa 5 asubuhi, katibu wa CDM atakua na press kikubwa atachozungumzia ni kutangaza tarehe ya uchaguzi na mambo yanayohusiana na uchaguzi wa ndani ya CDM. Watia nia wote nishapata pdf yake...
Russia's top missile expert gunned down in Moscow park
Mikhail Shatsky, who is said to have overseen the modernisation of Kh-59 and Kh-69 missiles used by Russia against Ukraine, was reportedly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.