AHSANTE RAIS SAMIA
Huyu ni Hadija Shaban Omar, mama mwenye watoto mapacha walioungana kifua, tumbo na nyonga wenye umri wa miaka Mitatu anapenda kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chadema mh Adolf Mkono amesema Mbowe amezungukwa na kakikundi ka watu Wachache wanaodai Wao ndio Wenye Chama na wengine ni WAPAGAZI tu
Mkono amesema watamchagua Tundu Lisu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, akizungumza na wanahabari siku ya Alhamisi Desemba 12, 2024, Mlimani City, Dar es Salaam, ameeleza azma yake ya...
Tangu Lisu atangaze nia ya kugombea nafasi ya uwenyekiti ndani ya CHADEMA chama tawala hakina amani kabisa. WanaCCM wanaona bora Mbowe aendelee kuongoza chama.
Maswali ya kujiuliza.
Kwanini...
Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi.
Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016.
Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium...
Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema...
Bado nafuatilia jina la chama hicho na nembo yake. Lakini kitashiriki uchaguzi mkuu ujao wa Madiwani, Wabunge na Rais.
Watanzania wengi sana wanakisubiri chama hicho kwa hamu kubwa.
Mungu...
Kutokana na Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama Taifa, CCM wamejawa na hofu kuu. Hofu yao ni kwamba, Je, Tundu Lissu akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa...
WIZARA YA MAJI YANUFAIKA NA ZIARA YA RAIS SAMIA KOREA
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amesema ziara iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Korea Kusini imetengeneza mahusiano mazuri na...
Wakuu amani ya Bwana ikiwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Andiko hili litakua fupi sana.
Hesabu huwa haidanganyi ,
Kumekua na propaganda nyingi za kusifia mikutano ya mwenyekiti wa ccm...
Jarida la Forbes
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes.
Ushawishi wake katika masuala...
Jamaa alijiona na kafinance kake kuwa naye ni mchumi wakati kale ni ka segment tu ka uchumi.
Sasa kila kitu kimenyooka chini ya huyu mwamba wa uchumi. Dolla inashuka thamani dhidi ya tsh kila...
1. Millioni 20 kwa Askofu Massangwa
2. Milioni 150 kwa KKKT Hai
3. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Musoma.
4. Milioni 50 kwa Kanisa Katoliki Dodoma.
5. Millioni 100 kwa Kanisa Katoliki Arusha...
Mbowe ni kiongozi mzuri kuliko viongozi wote wa vyama vyote hapa Tanzania huo ndiyo ukweli. Hii ni kwasababu ya uzoefu wake kwenye biashara. Hivyo tusije kijidanganya kwamba CHADEMA inaweza kupata...
Tundu Lissu, wewe kwa sasa ndio tishio kubwa sana kwa watu wa chama fulani na mgombea wao mtatajiwa wa uchaguzi mkuu wa mwakani.
Hivyo, nakushauri uwe makini sana katika mienendo yake yote kwani...
Haya maajabu au dharau kwa watanzania?
Kwamba baadhi ya wafuasi wa CHADEMA wanasema Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao lakini hao hao wanasema anafaa(alifaa mwaka 2020) kuongoza nchi nzima...
Kinachondelea ndani ya Chadema ni mbinu ya kukifanya chama chao kisemwe na kusikika katika jamii na nyanja za kisiasa.
Hii ni mbinu iliyopitwa na muda yaani kutengeneza drama ili msikike na...
Huenda Kuna watu wanahisi kuwa Mwenyekiti wa chama pinzani chenye nguvu Afrika ni lelemama, la hasha ni vita hasa tena ni uhaini mkubwa kwa watawala Hawa ambao hawapendi kukosolewa.
Tundu Lissu...
UMOFIA wana Jukwaa!
Kumekuwa na malumbano ambayo yamegeuka" symbolize high level of ignorance" kuwa Ujuha.
I expected as a strong political party to bring cream people to its members without...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.