Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi
1. Uongo kwa viongozi wa juu kabisa
2. Kuiba kura
3. Rushwa
Huwezi kuheshimika kama hayo matatu huyashughulikii
Kama una mpango wa kugombea nafasi yoyote ya uongozi Arusha, kuwa mkweli na usipange kudanganya maana wananchi wa Arusha wameshachoka siasa za kijinga na uongo wa wana siasa. Kama una nia thabiti...
Wakuu,
Wiki chache baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Naibu Waziri Ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI )Dkt. Festo Dugange amewapongeza watumishi wa...
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye...
Wakuu,
Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mazungumzo yake ya moja kwa moja na Jambo TV, Askofu Mwamakula amezungumzia mchakato wa Uchaguzi unaoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA
Askofu...
Hili ni swali fupi sana lakini linaweza kuwa na majibu marefu sana, Na kwa kweli Nchini Tanzania Watu wanatekwa na kupotezwa, Hilo halina Ubishi.
Mambo haya yalipofanyika awamu ya 5 aliyeamuru...
Leo ikiwa ni siku ya Kwanza ya Maandamano ya Amani , ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania , yaliyoandaliwa na Chadema , na ambayo yanatarajiwa kufanyika kote...
https://www.jamiiforums.com/threads/amos-makalla-kuna-mgogoro-mkubwa-unakuja-ndani-ya-chadema.2282803/
Hapa Makalla anataja tarehe za mgogoro kutokea na sababu za mgogoro kutokea, halafu kapita...
Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye...
DEBORA TLUWAY AFIKA TUNGUU, CHUO CHA UVCCM
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Mkoa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 15 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Umoja wa Vijana wa CCM Tunguu...
Hapo unaweza kujiuliza ndani ya CCM kuna watu wenye vichwa vya aina gani , maana wanaona sasa watakosa hoja ya kuikosoa CHADEMA hivyo wanalazimisha abaki mbowe ili hoja yao iendelee kutamalaki...
Wakuu,
Viongozi wa mtaa wa Masewe na Ilemi kutoka mkoani Mbeya,Patrick Mwashuma na Lupakisyo Mwasasu, wamefanya hafla ya kuwashukuru wananchi wa kata hizo kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa...
Naomba nianze na taarifa yenyewe.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limesema kuwa Daisle Simion Ulomi, aliyekuwa ameripotiwa kwamba amepotea, alifariki dunia baada ya kupata ajali...
Basi huyu Mzee Mbowe huenda ana Mungu sana au ni mchawi sana au CHADEMA kwa sasa imezidiwa na machawa na uchawa.
Kwaakili za kawaida hivi inawezekanaje mtu aongoze taasisi kwa miaka zaidi ya...
Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:-
1. Kiundwe chombo cha kitaifa...
Wana bodies,
Serikali mwezi December 2023 ilitangaza bei elekezi ya pembejeo zote ambapo bei hizo zilikuwa na ruzuku .
Wakulima wa zao la tumbaku walikuwa miongoni mwa wanufaika wa ruzuku hiyo...
Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu.
===============
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro...
Katika kuonyesha kuwa Mikoa ya Pwani tuna vichwa. Hapo Wizara ya Ujenzi panaenda kuchangamka Muda si muda.
***Fly over nchi Nzima. Hongera Mheshimiwa Ulega!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.