Tukio la Lissu kupigwa risasi sio dogo kama wengine wanavyodhani, waliohusika wasifikiri litaisha kama matukio mengine yanavyoisha na kusahaulika, kuwa ni upepo tu utapita, wakae wakijua hili...
Tunapoelekea kwenye Uchaguzi mkuu wa chama nimeshangazwa na kuvunjwa moyo na kauli ya Baadhi ya makada wa chama.
Hususan Yeriko, Boniface, Kigaila miongoni mwa wengine. Tangu makamu mwenyekiti TL...
Kama mnakumbuka vurugu za miezi michache iliyopita Mtwara Waziri mkuu alikwenda kuongea na wananchi wa Mtwara na kueleza mipango ya serikali ya maendeleo kwa kusini. Kwa mara ya kwanza wananchi wa...
Hivi bila kelele za watumiaji wa mitandao ya kijamii leo hii hali ingekuwaje?
Ukweli ni kwamba wananchi kupitia mitandao ya kijamii kwa umoja wetu tumeunda nachoweza kukitaa "Bunge Mtandao"...
Mpaka sasa nimekamilisha kupitia Law societies za nchi kadhaa ila zote nimekuta zinajiensesha zenyewe kwa michango yao, hi ni tofauti na TLS ambayo sasa ni semeu ya Serikali.
Inafikirisha sana...
Hili shirika linahitaji kufutwa tuanzw upya.
Hakuna wanacho kifanya.. unafutaje kifurushi cha 50K kwa watoto na unaweka cha 150K na mtu akilipia anataliwa kusubiri 3 months kuweza kupata hu
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu...
Kila ukaribiapo uchaguzi aka uchakachuaji, wachumiatumbo wengi uhama vyama kwa sababu mbali mbali mzuri na mbaya. Japo tunasema ni uhuru kidemokrasia, je huu una tofauti gani na umalaya wa...
KUREJEA KWA TOTO AFYA KADI MWANGA MPYA BIMA YA AFYA
Na WAF, DODOMA
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema kurejeshwa kwa Toto Afya Kadi kutaleta matumaini mapya na uelekeo thabiti wa Bima...
Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika...
Makamu Mwenyekiti wa chadema Tundu Lisu amesema tofauti na CCM wao hutoa Fomu nyingi Ili Wagombea wajitokeze wengi
Kuhusiana na Mbowe Kugombea tena Lisu amesema wanaoongea ni Wapambe tu lakini...
Tukiacha unafiki Tundu Lissu amebadilisha kabisa siasa za Tanzania
Joto la kisiasa lipo juu vyombo vyote vya habari mpaka gazeti la Uhuru habari ni Tundu lissu.
Sasa naona Tundu Lissu ndiye...
Kwema Wakuu!
Unaweza kuishi na mtu Miaka nenda Rudi lakini usiujue uwezo wake.
Kimichezo, huwezi kujua uwezo wa mshambuliaji wa timu yenu zaidi ya Beki anayemkaba Mshambuliaji wenu.
Yaani Mabeki...
Unajua dhana ya Uchawa imejikita kwenye Ulimwengu wa roho ndio sababu utakuta kapuku mmoja wahed kabisa anamuendesha na kumpangia mambo ya kufanya kiongozi mkubwa
Uchawa umejikita kwenye nguvu za...
Ndugu zangu,
Nimekusudia kwa mapenzi mema na moyo mkunjufu kufanya kampeni maalumu itakayokwenda Kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU. Kampeni hiyo itakuwa na malengo kuu matatu
Lengo la kwanza...
CCM ni tofauti sana na nyama vingine vya siasa nchini ambavyo vina usajili kamili na wa kudumu chini ya sheria ya vyama. Sifa pekee za CCM zinjidhihirisha wazi wazi katika masuala mazito ya...
Mara baada ya kumaliza kusikiliza mazungumzo uliyofanya na baadhi ya wafanyabiashara wa Tanzania 07/06/2019 na kuona malalamiko mengi ya serikali kwa wafanyabiashara, na ya wafanyabishara kwa...
Ikiwa imebaki miezi miwili tuingie katika uchaguzi za serikali za mitaa na mwaka mmoja tuingie kwenye uchaguzi mkuu, mtazamo wa wananchi juu ya siasa umebadilika sana. Vyama vya upinzani...
Leo, Baraza la Jumuiya ya Wazazi la Wilaya ya Musoma Vijijini limemtunuku Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, TUZO ya PONGEZI kwa kutambua ushiriki wake na mchango wake...
Wapinzani waliposhindwa kusimama mbele ya CCM na mwenyekiti wake katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wanadai hakukuwa na uchaguzi ila uchafuzi na hii si mara ya kwanza kulalamika baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.