Hii Nchi sasa inabidi ifanyiwe Factory Reset.
La sivyo hakuna kitu kitasimama hata tujikakamue vipi. Ni lazima mnyororo na mkondo wa Mafisadi ukomeshwe. Nani wa kuukomesha?
Mafisadi hawawezi...
Mwaka 2009 nisameka, kwani kuna dhambi mtu wa Kigoma kuwa Mwenyekiti wa Chama taifa, kuna dhambi? Nikagombea, hapo ndiyo ilikuwa mwisho wa amani yangu ndani ya chama. Toka mwaka 2009 sina amani...
Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024.
Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea...
Niko Hapa namsoma Dr Lwaitama akitoa Wasifu wa Tundu Lisu kwamba anafaa kuwa Mwenyekiti wa Chadema na Rais wa JMT
Yuko na Yeriko Nyerere anasema Yeye na family yake wanaelekea Dubai kula...
Huu ndio ukweli kwa sasa na wala haupingiki:
Nyerere alipokuwa anatarajia kuhutubia, karibu kila mtu anasogea kwenye chombo cha habari iwe ni TV au Redio au kufika kwenye ukumbi husika huku...
Ndugu zangu Watanzania,
Ogopa sana machozi ya mnyonge yanayotiririka kutoka katika macho yake,ogopa sauti ya kilio cha mnyonge kinacho bubujisha machozi kwa kudhurumiwa haki yake,ogopa na kwepa...
Ni kama mwanachama mpya ndani ya CHADEMA, hajasindikizwa hata na kiongozi wa chama kutoka mkoani kwake, au hata wanachama wa kawaida.
Soma Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
KESI YA KITILYA: Korti Kisutu, Dar yafuta shtaka la kutakatisha fedha dhidi ya aliyekuwa bosi wa TRA, Harry Kitilya, wengine 2. Mawakili sasa wanaomba dhamana.
================
Kamishna Mkuu...
Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya...
Je, ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka?
Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CHADEMA, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais...
Wanabodi,tangu Mhe.Tundu Lissu atangaze kubadili kusudio la kugombea makamu Mwenyekiti na kutangaza kusudio la kugombea Uenyekiti wa CHADEMA kumekuwa na maneno mengi mno.
Kinachofurahisha ni...
“There’s just no value — with respect to my colleagues in the mainstream press — in a general election, to speaking to The New York Times or speaking to The Washington Post, because those...
Kama lipo jambo litaje kwa faida ya wadau.
Tangu awamu ya 5, chairman Mbowe amakua akijaribu kuongoza mipango ya jumla ya chama chake ikiwa ni pamoja mikutano ya hadhara na maandamano bila...
Tundu Lissu leo amechukua fomu na amedai fomu hiyo amelipiwa na Sativa.Kwanini amemtaja Sativa? amemtaja Sativa ili wanachadema waone namna anavyopendwa na wahanga wa matukio ya utekaji, hizo ni...
Tundu Lissu afahamishwe katika kushika dola umoja ni muhimu zaidi kuliko hata sera, uhalisia na ukweli. Pamoja na yote anayofanya lazima ajue lugha ya ukali anayotumia kwa CCM na serikali haifai...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo mkanganyiko nchini juu ya ujenzi wa Bwawa la Umeme wa Nguvu za Maji (HEP) katika eneo la Stiegler's Gorge kwenye Mto Rufiji, wilayani Rufiji, mpakani mwa...
BADO MBOWE NI KIONGOZI SAHIHI KWENYE HIZI NYAKATI ZA MWISHO WA UHAI WA CHADEMA.
Najua mtashangaa sana kwa huu uzi wa leo. Ni kwamba kama akili kubwa nimeona niliweke hili suala la uenyekiti wa...
Nawaamuru wafuasi wa CHADEMA msome kwa makini sana huu uzi na muufanyie kazi.
Hivi karibuni kama mmefuatilia mwenendo wa kisiasa hapa nchini inaonyesha CHADEMA (Chama cha Mbowe) hakina matatizo...
Wakuu, salaam zenu!
Moja kwa moja kwenye mawazo yangu. Nimefikiria sana, style ya Mh. Tundu Lissu, ya kuutaka Uenyekiti wa chama chao, nimeona inaweza kuleta athari fulani.
Yeye mwenyewe...
Ni dhahiri kuwa maswali haya yanazidi kuongezeka miongoni mwa wananchi wengi, hasa wanapoona juhudi zao za kuboresha barabara zikivurugwa kwa namna isiyokubalika. Mfano halisi ni kilichotokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.