Matokea ya uchaguzi wa serikali za mitaa yametoa taswira ya namna vyama vya upinzani nchini vitaendelea kuwa wasindikizaji.
Vyama hivyo vitaendelea kuisindikiza CCM na kukiacha kiking'ara...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk Mpoki Ulisubisya kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
Rais Samia, pia amemteua Joyce Gideon...
Habari wadau, ni matumaini yangu mko vyema kabisa,
Kwa jina naitwa ProMagufuli.
Napenda kuleta hoja kama kichwa kinavyosema.
Kufuatia uchaguzi wa serikali za mitaa tumeweza kujionea...
Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu
Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Makala ya leo ni pongezi kwa Jaji Stella Mugasha wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kusimama kidete...
..Kwanini Raisi hajatoa mchango wa rambirambi kwa wanachadema waliofariki Dsm, Singida, na Songwe?
..Kwanini Katibu Mkuu wa CCM hajatuma salamu za rambirambi kwa Katibu Mkuu mwenzake, au...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, JF ni ukumbi huru kwa watu wote wa aina zote, rangi zote, hali zote, jinsia zote, vyama vyote hata wasio na vyama, sasa kwanini member wa jf, akijiunga CCM...
Katika kipindi cha Dakika 45 ITV Mh Membe anaonekana kuongea kwa hisia na uwazi sana kuhusu maisha yake ya kisiasa pamoja na mvutano uliopo kati yake na mahasimu wake.
Anasema iko siku atawataja...
Kwa wale wenye ufahamu mkubwa na masuala ya intelligency watakubaliana nami kuwa CIA ni shirika la kijasusi lenye mtandao mpana ajabu duniani, shirika hili hununua raia wa nchi husika na kuwafanya...
SWALI KWA ZITO :NONDO AKATAA KUPIGWA PICHA?
AU msimamo wa chama kwamba picha za majeruhi hazioneshi kwa jami?
PIA SOMA
- ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa...
Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga...
Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu.
Akiongea na wananchi...
Kila nikimsoma Daudi alivyodharaulika lakini Akaja kuliokoa taifa lake na Uonezi wa Goliath najikuta nauheshimu Upako wa Mungu wa mbinguni
Daudi alikuwa na kombeo.( Manati) tu
Naangalia mzozo...
Mambo yanayoendelea Tanzania hayajengi uoga kwa Watanzania kama mnavyodhani, bali yanajenga usugu. Usugu huu unazaa kiburi kwa wananchi. Kiburi kitazaa dharau kwa Jeshi la Polisi na wananchi, na...
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge...
Hii scene ilipangwa tu
1. Kwanza unakamatwa kwa purukushani na inadondoka begi lenye vitambulisho wala si simu wala kingine! Ni ili watu watambue katekwa Nani
2. Millard Ayo anafanya coverage...
Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai amekwaa kisiki baada ya Mahakama Kuu kumkatalia maombi yake kupinga amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam...
Wakuu!
Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo
===================
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba...
Kwa ukubwa wa Tanzania, tumechelewa sana kwenye secta ya anga. Hadi 2015 tulikuwa bado tunatumia rada za majirani zetu na tulikuwa tuna kiwanja kimoja tuu chenye hadhi ya kimataifa.
Kwa sasa...
Matukio ya utekaji bado tishio nchini
Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.