Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
VIONGOZI wa dini mkoani Arusha,wameridhishwa namna Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi nchini(INEC),inavyoshirikisha makundi mbalimbali kwa kuyaelimisha na kupokea maoni ya uboreshaji wa daftari la...
0 Reactions
6 Replies
318 Views
Kama CCM,wilaya ya Same imebariki hii Lana,Kuna uwezekano hata utekaji mmeubariki.
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Chama cha ACT Wazalendo kinatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo, nakutelekezwa usiku wa kuamkia leo katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam. Kwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Matukio ya utekaji bado tishio nchini Tanzania kwa tukio la hivi karibuni, la kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya vijana ya chama cha upinzani nchini Tanzania, ACT Wazalendo, Abdul Nondo ambapo...
12 Reactions
86 Replies
4K Views
Nchi ndogo kama Rwanda mikakati yake kutafuta maendeleo inaweza hata kumstaajabisha mtu. Unakuta wako kila umoja wa ushirikiano lakini ni kwa ajili ya vigogo wao kupata ulaji. Wasipopata mambo...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Sisemi mengi, ila ukweli ndio huo na sababu kubwa ni matukio ya watu kutekwa na kuuwawa pamoja na vitendo vya wazi vya kupora uchaguzi na watu kuuwawa kwenye uchaguzi. CCM inajimaliza kwa kasi...
2 Reactions
11 Replies
372 Views
Wapo wengi kama mimi wanaoshangaa ni kwanini utekaji unazidi kuongezeka na kugeuka donda ndugu. Je, serikali imeshindwa kweli au kuna namna? Je, huyu mbeba moano ameshindwa kuona namna wananchi...
2 Reactions
18 Replies
494 Views
Kuna Vijana wanadhani Uwezo mkubwa wa Zanzibar Kwenye Siasa, Uchumi na Utamaduni vimeibuka ghafla tu, wanajidanganya mno Zanzibar iko Juu kabla hata ya Muungano na kama unabisha Soma historia...
3 Reactions
3 Replies
259 Views
Friends and Our Enemies, Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza...
13 Reactions
209 Replies
5K Views
Pamoja na ukweli kuwa Abdulu Nondo na chama wake walikuwa hawawaungi mkono katika mapambano ya kupinga vitendo vya utekaji na uuaji, nawashauri muonyeshe ukomavu wa kwenda hospitali ya Aghakan...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend 2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend 3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul...
22 Reactions
59 Replies
3K Views
Mkuu mpya wa mkoa wa Geita Mheshimiwa Rose amesema ameshangazwa sana kukuta mkoa wa Geita una stendi kuu ya mabasi ya matope. RC Rose amesema stendi ndio reception hivyo hutoa taswira ya mkoa...
15 Reactions
144 Replies
16K Views
Si mara moja wala mara mbili au mara 3 ambapo jeshi la polisi limeua raia wakiwa wanashikiliwa, yaani wakiwa mikononi mwao, tena mara kadhaa raia hao wakijulikana ni raia wema. Na haya hayajaanza...
6 Reactions
14 Replies
941 Views
Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na...
26 Reactions
107 Replies
5K Views
MTANZANIA, THOMAS NKOLA maarufu Mkulima amehoji sababu za Chama cha Mapinduzi kumruhusu Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC) anayetuhumiwa kwenye kashfa mbalimbali za ufisadi kuwa mgeni...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Kama una ushahidi kwamba ni wanafunzi waliosajiliwa kupiga kura kwanini huendi mahakamani? https://www.youtube.com/watch?v=Pak6q7ktQy4 ========= Tundu Lissu ataka Watanzania kuchukua hatua...
1 Reactions
67 Replies
2K Views
Nimewaita ili kuzungumzia matukio ambayo yamekuwa yakijitokeza ndani ya Tanzania ili muweze kuwahabarisha watanzania. Kwa ujumla hali ya nchi yetu ni shwari ukiacha yale matukio machache...
37 Reactions
678 Replies
96K Views
Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita amesema kuwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa chama hicho Abdul Nondo amepigwa sana na kuumizwa sana pia kwa hali aliyonayo hawezi...
11 Reactions
80 Replies
4K Views
Kwa CCM: Kila mwenye uwezo wa kuongea ni tishio kwao. Kila anayejitambua ni tishio kwao. Kila anayekosoa ni adui kwao. Kila anayekataa uchawa ni tishio kwao. Kila anayeshuku ni adui kwao...
1 Reactions
1 Replies
233 Views
Ndugu zangu Watanzania, Katika kuendelea kumuunga mkono ,kumsemea na kumtetea Rais Samia kwa kazi nzuri alizofanya ,anazofanya na anazoendelea kuzifanya katika Taifa letu nimekuja na kauli mbiu...
8 Reactions
110 Replies
2K Views
Back
Top Bottom