Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwanza kabisa nikiri wazi nakubali sana uchapakazi wa Jerry Silaa (Mb) hasa alivyokuwa Wizara ya ardhi. Lakini kama tujuavyo mteuliwa hana maamuzi ni wapi afanye kazi, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Waziri mstaafu wa Mambo ya Nje January Makamba amesema marehemu Ndugulile alimtafuta na kumweleza jambo lake la WHO ila alikuwa na wasiwasi kama serikali itamkubalia. Makamba amesema alilichukua...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo hii Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. katika kuonyesha na muendelezo wa Masikitiko...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
SIKU za Karibuni kumeibuka wimbi la vifo vya viongozi huku sababu za vifo vyao zikifichwa na mwisho mnawekewa ratiba ya mazishi watu wanatoa hotuba za kusisimua wanaondoka wanaziacha familia...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Hizi ni tetesi za kweli na ni wachache watakao zipuuza ila tulio soma KYUBA mtanielewa. Utekwaji na kuuliwa kwa Mzee Kibao Mh John Mnyika alikuwa MIONGONI MWA viongozi WALIO julishwa mapema sana...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tumeshuhudia utekaji, mauaji na mateso mbalimbali kwa wananchi. Kama haya ni huu uchaguzi mdogo kabisa. Je nini kitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu ambao mi wa Kumchagua...
7 Reactions
22 Replies
823 Views
Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye...
5 Reactions
69 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Vijana Kanda ya Nyassa, Victor Baleke, amekamatwa na kuwekwa ndani katika Kituo cha Polisi Rujewa asubuhi hii. Baleke alihojiwa jana katika Kituo cha Polisi Chimala na...
1 Reactions
7 Replies
576 Views
Hebu Isome mwenyewe halafu tueleweshe na sisi; TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kujulisha kuwa, Disemba 1,2024 majira ya saa 11.00 alfajiri katika eneo la stendi ya Magufuli Mbezi...
11 Reactions
87 Replies
6K Views
Niwe tu Mkweli maneno yale ya Tundu Antipas Lisu yanatimia Hata kama tutakuwa wagumu kukubali Mpendwa Chongolo Wakati fulani tumeabudu naye pale KKKT Kimara kwa Mchungaji Matsahi Wakati huo akiwa...
1 Reactions
10 Replies
973 Views
Wakuu, Inasemekena eneo alilotekewa Nondo kuna CCTV Camera inayorekodi matukio eneo hilo, lakini pia katika purukushani za patashika nguo kuchanika simu ya moja ya watekaji ilianguka chini, na...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema gari namba T 249 CMV inayotajwa na Jeshi la Polisi kuwa imetumika na Watekaji kumteka Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa wa ACT, Abdul...
15 Reactions
111 Replies
6K Views
Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena? CCM oyeeee!
1 Reactions
42 Replies
1K Views
Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, nchini Tanzania, kumekuwa na ongezeko la matukio ya utekaji na mauaji ya raia wema, hali ambayo imekuwa ikihusishwa na uvunjwaji wa haki za binadamu na...
0 Reactions
2 Replies
290 Views
- POLISI NA DOLA WANATETEMEKA, KUNA JAMBO WANALIFICHA JUU YA ABDUL NONDO.. HAYA NDIO NILIYOYAGUNDUA JUU YAO. Na Josephat K. Nyambeya nyambeya@yahoo.com Kuna msemo wa lugha ya majahazi unasema "A...
139 Reactions
263 Replies
24K Views
Wakuu, Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake...
20 Reactions
121 Replies
4K Views
Wananchi walijitokeza kujiandikisha ili wawachague viongozi watakaowaletea maendeleo lakini kinyume chake yametokea mambo ya hovyo tena ya hovyo katika uchaguzi huu. Wagombea wanapigwa risasi...
7 Reactions
25 Replies
973 Views
Mazoezi makubwa matatu yanayogharimu pesa nyingi za wananchi ni vita, sensa, na uchaguzi. Uchaguzi, kwa upekee wake, mara nyingi husababisha kuyumba kwa amani na utulivu wa nchi kama...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Akiwa kwenye mkutano na wananchi Kigoma, leo Novemba 29, 2024 Zitto ameongea mengi: - Amewaonya CCM kuwa wanachofanya kwa sasa kitawageuka kama inavyotokea nchi nyingine. - Ametolea mfano...
30 Reactions
82 Replies
4K Views
Back
Top Bottom