Wakuu,
Haya jamani mliokuwa mnasema kuwa ACT Wazalendo ni CCM B mna salamu zenu hapa.
Nimeona hivi karibuni Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Jimbo la Momba, Himid Yaled Siwale amesimamishwa uongozi...
Swali hilo linanifanya nianze kufikiri na kuamini kwa uhakika kuwa hawa sio Polisi wa kawaida bali hiki kinachoendelea ni matumizi mabaya ya ile sheria inayowapa watu wa usalama wa Taifa (TISS)...
habari JF , kwa sababu kuu tatu;-
1. Ni ngumu sana kuitoa madarakani CCM kwa katiba na Tume hii ya uchaguzi , 2025 ni karibu sana kupata tume au katiba Mpya
2. Ni ngumu sana kuiunganisha CHADEMA...
Watanzania ni waoga sana hata Mimi muoga sana yaani ukitekwa eneo nililopo Mimi sahau kuhusu msaada Sina mda wa kufa Kwa ajili ya mjinga mwingine aishi sababu sioni faida naona wengi mnaongea...
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi amesema baada ya Kifo Cha Sokoine Maneno mengi yalisemwa ikiwemo " aliuawa kwa njama"
Mwandishi mmoja wa kigeni aliandika Kifo Cha Sokoine Mwalimu Nyerere...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwanza ningependa ifahamike ya kuwa Ziara ya Mheshimiwa Rais Mkoani au mikoani inakuwa na maandalizi makubwa sana kuanzia Masuala ya usalama na mengineyo. Ndio maana siyo...
Alisema: "Give them guns and they will kill each other.They are good at nothing else except........."
Haya maneno mengine wacha tu nisimalizie maana ni aibu.
Nimekumbuki hii speech inayodaiwa...
Wanabodi,
Taifa bado liko kwenye shock ya nini haswa kilichotokea kwa askari wetu?
Mauaji haya ya Polisi Wetu ni Ujambazi tuu, ni Ugaidi au Retaliation?. Wakati vyombo vya uchunguzi vikiendelea...
Kwa wanaokumbuka mwendazake Magu alivyotaka kuigeuza Chato Ulaya, watajikumbusha kinachoendelea kule Kinzinkazi, siyo jina hali. Kabla ya hapo, hatukuwahi kuona kiongozi akipendelea kwao hata kwa...
Prof PLO Lumumba anasema " Nchini Japan Fisadi hujiua mwenyewe, China Fisadi huuawa na serikali, Ulaya Fisadi hufungwa Jela na Mahakama Lakini Africa Fisadi hujitokeza na kugombea Uongozi kwenye...
Wakuu,
CHADEMA, ACT hola? Wagombea walienguliwa wote au nini kimetokea?
CHAUMA upinzani anashinda anamshukuru Rais Samia kwa kushinda? CCM safari hii mmetisher!:KEKLaugh::BearLaugh::BearLaugh...
Je,hili sakata la kada wa ACT wazalendo (Mwenyekiti wa vijana) kukamatwa na kupatikana ndani ya siku moja inaweza kuwa ni njia ya kuwatoa ACT katika msimamo wao wa kutaka uchaguzi wa serikali za...
Jeshi la polisi leo limeongelea uchunguzi wake kuhusu mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam aliyedaiwa kutekwa, Abdul Nondo kwamba alitekwa na watu wasiojulikana, taarifa ambayo ilizua...
MATOKEO RASMI:
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Jecha Salim Jecha amemtangaza Dr. Mohammed Shein kuwa Rais wa Zanzibar kwenye uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20, 2016 kwa asilimia...
Mwaka 2019, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola “Ninja” aliwahi kukilamikia kituo cha Polisi Gogoni kwa ukiukwaji wa haki. Tujikumbushe hapo chini;
Waziri wa @WizaraMNN Kangi...
Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine...
Tathmini ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana chini ya kituo cha Star TV, uliongozwa na Chief Odemba.
CHADEMA iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface, CCM...
Baada ya Tanzania kulaumiwa na Jumuiya za kimataifa kwa kumiliki kikundi cha watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuteka, kuua kutesa, kubambikizia kesi, Tanzania imetoka kuwa nchi ya kwanza yenye...
Bwana Masauni napenda kutoa maoni yangu juu ya kauli yako inayohimiza nyumba za ibada kuhamasisha amani. Lengo langu ni kuomba ufafanuzi wa tafsiri yako ya neno amani na jinsi inavyopaswa kufikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.