Wakuu wangu JF niwasalim kila mmoja kwa imani yake
Poleni wafiwa wote kwa kuondokewa na wapendwa wenu kisa tu uchaguzi Serikali za mtaa, nimetoka katika maombi binafsi na moja ya maombi yangu leo...
Habari za asubuhi wanajamvi
Leo asubuhi nikiwa nafanya jogging zangu mbili tatu huko mtandaoni nikakutana na hii document kutoka kwenye website ya shirika la WHO ikiainisha mishahara ya...
CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.
Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm...
Mtangazaji wa kipindi cha jana na leo kutokea Wasafi FM ametoa mawazo yake kuhusu suala la utekaji.
Namnukuu Edo Kumwembe,
Utekaji ni suala la hovyo na la kishamba ambalo linachafua taswira ya...
Namibia ipo kwenye uchaguzi kwa Sasa. Uchaguzi huu ulikuwa ni mgumu Kwa chama tawala Cha SWAPO ila vyama vya upinzani baadala ya kuungana vikaamua kila mmoja kupambana pekee yake mwisho wa siku...
Hatimaye kijana Nondo kapatikana muda huu,akiwa ametupwa nje ya Makao Makuu ya Ofisi za ACT.
Taarifa za awali zinasema yupo Mahututi hajiwezi kwa lolote ,hata kuongea ni shida.
===============...
Maandiko matakatifu yanaeleza kwamba MUNGU YUKO PAMOJA NA WENYE KUSUBIRI ( Quran ) , kuteuliwa kwako kuwa balozi asiye na nchi mara baada ya kuvuliwa ukatibu Mkuu wa Wizara ya Afya ni ishara...
Nakumbuka tukio la utekaji wa mzee Ally Kibao, ambapo mtu wa kwanza kutoa taarifa kwa umma kuhusu tukio hilo alikuwa John Mnyika, kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Hatimaye...
Ndugu zangu Watanzania, kila mmoja wetu ameshuhudia wimbi kubwa la utekaji, utesaji na mauaji hapa Nchini hasa kabla na wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
Mimi niwaombe wanaotekeleza...
Nimefurahishwa sana na utendaji kazi wa Jeshi letu Kila siku lipo mzigoni kuwasaka watekaji. Mafaili ya wanaosakwa ni mengi napongeza sana kwa umahiri na umaridadi wa jeshi letu.
Wanawasaka...
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa...
Balozi Hoyce Temu aliyepo Geneva amesema Dkt. Ndugulile alikuwa Mtu mwenye misimamo na aliyelisaidia Taifa katika mambo mengi Bila mbwembwe
Temu amesema alimjua Dr Ndugulile walipokuwa kwenye...
Kiukweli Huyu mdimi Yohana Kibassa wa Kijiji cha Nyamwisi, kata ya Ruaha Kilosa anastahili Maua yake 🌹🌹🌹
Lucas Mwashambwa miaka 46 UVCCM bado hajatoboa
Navalonge swela 😂😂🔥
Labda nikutajie nchi zinazounda Jumuiya ya Africa Mashariki Ili upate Urahisi wa kufanya Utafiti
Rwanda, Uganda, Kenya, Tanzania Bara na Visiwani, Burundi, Sudan Kusini, DRC na Somalia
Halafu...
Ndiyo! Rais mkapa hakua mbinafsi hata kidogo na yawezekana ndiyo Rais ambae hakupendelea kwao kabisa mpaka anaondoka madarakani Rais mkapa hakupeleka vitu vingi sana kwao mtwara zaidi ya daraja la...
Mungu hamwachi mtu wake
Poleni sana wafiwa wote na wana CCM wenzangu
Nimewaza nkasema bado tuna kijana mdogo mwenye kutufikisha mbali kama sio kaanani
CCM kwa heshima na taadhima tunaomba mh...
Mkurugenzi wa Shirika la Bridge for Change, Ocheki Msuva ambaye ni mtaalamu wa siasa na utawala anayejihusisha na masuala ya vijana katika eneo la ushiriki na ushirikishwaji amesema uchaguzi wa...
Kama mwanadam unajua hasa hatari ya kuongoza watu na jukumu ulionalo daima ungalikumbia uongozi
Uongozi ni Amana Nzito
Mtume Muhammad (S.A.W.) alisema:
"Hakika, uongozi ni amana. Na Siku ya...
Tundu Lissu ni mwanasheria makini na mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu. Lakini natilia shaka kama yeye ni mwanasiasa mahiri na pia sijui kama yeye pia anajua nafasi yake aliyopo kisiasa...
Tanzania ya sasa haieleweki maana hakuna agenda ambazo taifa linazishika na kupanga kufika nazo mwisho. Ni upepo tu, ukivuma kushoto ndiko hukohuko fikra zote zinaelekea. Upepo ukivuma kulia kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.