Hatujajua kama ni Wale wale wa Bonge ambao hawajakamatwa hadi leo kwa vile hawajulikani, au ni watu wengine ambao aliwadhulumu Viwanja.
Taarifa kamili hii hapa.
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumamosi Februari 29, 2020 amemjulia hali makamu mwenyekiti wa CCM- Bara, Philip Mangula aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) baada ya kuanguka...
MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU.
Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama...
MSG ndo anaandaliwa kushika jimbo ambalo ni Zanzibar’s ya wamasaai, kulinda Maslahi za familia ya mkuu wa hekaya alostaafu,
Itakuwa Mwaka 2025 wala si now
Ikumbukwe mzee wa kuambiwa changanya...
Kwa mtazamo wangu wavurugaji na wachakachuzi wakubwa wa chaguzi zetu hapa Tanzania, ni watendaji wa Vijiji, mitaa na Kata.
Watendaji ndiyo mikono inayoyumiwa na CCM kuharibu chaguzi.
Wakurugenzi...
Kumekucha tena [emoji1313][emoji1313],
Sheikh anena mazito:Kubinafsisha bandari ni haramu na haitakiwi
Sheikh na msemaji wa taasisi wa hizbu-tahrir amesema msimamo wao ni kuwa bandari ni mali ya...
Huu Ujumbe wa mchungaji Kimaro umenikumbusha mbali hadi nimeogopa sana 🐼
" Fimbo inayotumika kumuulia nyoka haitunzwi hutupwa mbali Kwa Sababu ina mabaki ya Sumu"
Chawa wa Chadema na CCM...
Ni angalizo tu
Ni rahisi sana kushughulika na Chadema Mwamba au ACT Wazalendo Ayatollah lakini itakuwa vigumu sana kuwakabili Chadema TAL na ACT Wazalendo OMO tena wakiwa wameungana...
Bado tunajiuliza kama Jeshi la Polisi linatumia mbinu gani kwenye kuhoji watuhumiwa.
Mdude alishajieleza kwamba hayuko tayari kutoa maelezo yoyote polisi, lakini bado Polisi wanamhangaisha na...
Hotuba ya Freeman Mbowe:Naweletea Live Updates sehemu ya kwaza ya Hotuba hii.Sehemu ya kwanza pia wanahabari wamealikwa na Sehemu ya pili ni kikao cha ndani.
Updates:
-Nachukua fursa hii...
Yaani Polisi Tanzania wanasema wanaanza uchunguzi wa video inayoonesha watu wakijaribu "kumkamata " na "kujaribu kumuingiza kwenye gari".
Polisi kwanini wanatumia neno kukamata? Kwanini neno...
Juzi niliona picha ya Rais Magufuli akimuombea mama yake mzazi ambaye amepatwa na maswahibu kama yaliyokatisha uhai wa binti yake ambaye alizikwa hivi karibuni.Nilipomuona nilijikuta nikiwaza...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameongoza Waombolezaji katika Mazishi ya Mgombea Uenyekiti wa kijiji kupitia Chadema, Aliyeuawa na Askari aliyetumwa kumuua na wanaodhani hii Nchi ni yao...
Ni mjadala wa tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wanenaji watakuwa Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo, mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob, Wakili Madeleka na Mh...
Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha .
Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi...
Wakuu,
CCM C imejirusha huko baada ya ushindi wao wa kiti 1.
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Mkoa wa Mbeya na Wananchi wa mtaa wa Soko kata ya Ruanda jijini Mbeya wamefanya sherehe ya...
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania
Nikabaini kuwa...
Wakuu,
Kuna kitu, hii siyo bure! Hiki kilichotembea iwe ni kifinyo au kibunda itakuwa ni cha maana!
=====
Viongozi wa dini na siasa Mkoani Tanga wametoa pongezi na shukrani kwa juhudi za...
Fuatilia mubashara mjadala wa Tathmini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 unaofanywa na JamiiForums kwa Kushirikiana na Start TV.
https://www.youtube.com/live/2DskPzSytWY?si=9Ykw6hjtEkxbl7MR...
Wadau, kwa sasa, huyu bwana bila shaka ndio anaeongoza kwa kupata misukosuko kutoka na harakati za kisiasa pampja na kupinga uovu wanaofanyiwa watu mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wasio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.