Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Chama cha ACT Wazalendo Jimbo la Kigoma Mjini kimeamua kufungua kesi mahakamani kwenda kuwashtaki Wasimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa, Wasimamizi Wasaidizi pamoja na walioshinda na kuapishwa katika...
3 Reactions
13 Replies
566 Views
Hotuba ya Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Tunduma, Boniface Mwakabanje, Aliyoitoa kwenye Maziko ya Mgombea wa Uenyekiti wa chama chake yaweza kuwa ndio hotuba bora ya Mazishi yatokanayo na Mauaji...
4 Reactions
23 Replies
826 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Jimbo la Segerea, ambapo kimevua ushindi katika mitaa yote 61 ya jimbo hilo. Vilevile, CCM kimeibuka...
4 Reactions
78 Replies
2K Views
Video Courtesy: SK Media Online TV ➡ CCM kwa kutumia vyombo vya dola polisi & TISS na watumishi wa umma i.e, wamesaidiwa kunyakua madaraka mikononi mwa wananchi kwa kilichoitwa "uchaguzi" lakini...
0 Reactions
4 Replies
382 Views
Wakuu, Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔 ==== Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea...
3 Reactions
11 Replies
416 Views
Tunajua Mfumo wa Vyama vingi ulianza 1992 ambapo Vyama mbalimbali vilianza kuomba Usajili ikiwemo CHADEMA, NCCR mageuzi na hata CUF Je, CCM ilisajiliwa lini na kwa SHERIA ipi? Tukisema CCM baba...
1 Reactions
10 Replies
374 Views
Taarifa iliyosambazwa na Chadema Kanda ya Pwani hii hapa Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho ya Marehemu huyu, Amina.
5 Reactions
25 Replies
818 Views
Ndugu zangu Watanzania, Unajua kuna watu na wanasiasa hapa Nchini wanaweza kufikiri watu wote ni wajinga kama wao au watu hawana akili au watu hawajitambui au watu ni Manyumbu au kufikiria labda...
1 Reactions
97 Replies
2K Views
MHE. OLIVER AUNGANA NA WANA KAGERA KUMPONGEZA MHE. RAIS NA MKUU WA MKOA KAGERA Leo, tarehe 30 Novemba 2024, historia imeandikwa katika Mkoa wa Kagera, ambapo wana Kagera walijumuika kwa pamoja...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Wakuu, Kumbe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni wa huru na wa haki? Mbona hamkusema? HIivi kweli unajitokezaje kusema kuwa Uchaguzi ni huru na wa haki baada ya kuona mabomu ya machozi...
0 Reactions
4 Replies
388 Views
Wakuu, Mbona ghafla kila sehemu wanaanza kuipongeza OR TAMISEMI? Yaani ni kama wote wamepewa script moja :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:, mbinu ni zile zile CCM hamjui kunyumbulika kabisa...
0 Reactions
8 Replies
398 Views
Wakuu, Tawi la CCM limeipongeza CCM kwa ushindi mnono😂😂 Chama cha Upinzani nchini Tanzania NLD kimetoa Pongezi kwa Chama tawala CCM kwa kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa...
0 Reactions
6 Replies
379 Views
Wakuu, Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya. Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM...
10 Reactions
25 Replies
1K Views
Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
4 Reactions
52 Replies
1K Views
19 November 2024 TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E Vyama hivyo rafiki wa...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Wakuu, Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa. Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya...
0 Reactions
3 Replies
362 Views
Kama unabisha kasome historia utajua kwanini Mwalimu Nyerere aliwaamini sana Wahehe Nyerere alisema hata Uzalendo Vijana wakajifunze pale Ihemi na kikajengwa na chuo kabisa Najaribu kuangalia...
1 Reactions
5 Replies
398 Views
Kwa hiyo sasa CCM imeshinda. Kwa hiyo Wapinzani lazima waridhike na walichopata. It is very unlikely kwamba Uchaguzi unaweza kurudiwa. Naona manabii wengi wanasema Bwana kawaambia CCM itaadhibiwa...
4 Reactions
8 Replies
384 Views
Wanabodi, Mchungaji mwema huwaacha kondoo wake 99 na kwenda kumtafuta kondoo mmoja aliyepotea,akimpata ni furaha,akimkosa ni huzuni! Mtu mwenye viti 10, akiingia kushindana,akapoteza kiti...
7 Reactions
26 Replies
889 Views
Back
Top Bottom