Wakuu,
Baada ya purukushani na kuwepo kwa vitendo vya wizi na udanganyifu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo amewahimiza wananchi kususia na kugomea viongozi...
Wakuu,
Matokeo ya jumla ya uchaguzi kutangazwa muda wowote kuanzia sasa.
Uandikishaji wa Wapiga Kura
Zoezi lolifanyika Octoba 11 mpaka 20, 2024 ambapo jumla ya wapiga kura Milioni 31,282,331...
Wakuu,
Wadau mbalimbali wameeeendelea kutoa maoni Yao baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kumalizika
Huko mkoani Geita katika Wilaya ya Nyang'hwale wanachama wa CHADEMA wamejitokeza na...
Wakuu,
Inadaiwa kuwa Jeshi la Polisi mkoani Katavi kupitia kwa Mkuu wa Upelelezi mkoani humo limemuita kwa mahojiano Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa wa Katavi Rhoda leo, Jumamosi Novemba 30.2024...
Salaam, Shalom!!
Palikuwa na ujumbe usemao:
"Bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI ( uchaguzi utayeyuka).
Swali: 1.
Palikuwapo uchaguzi, au uchaguzi...
TAARIFA KWA UMMA
SMZ ichukue hatua stahiki kwa maafisa wa MIMCA na KMKM, waliohusika na udhalilishaji Watembeza Utalii
Hivi karibuni kupitia Mitandao ya Kijamii tumewaona Askari wa Kikosi cha...
Wanabodi
Wanabodi,
Hili ni ombi mahsus na maalum kwa mtu mahsus na maalum, hivyo hii thread sio thread ya watu wote bali ni thread mahsus maalum kwa mtu mahsus maalum kwa lengo mahsus maalum la...
Huo ndiyo ukweli wenyewe, hatuwezi kupractice demokrasia ya kutelewa kwa kulazimishwa, hata siku moja,
Tukumbuke demokrasia hii ililetwa kwa bakora hapa barani kwetu Africa, bakora iliyotumika kwa...
Nguvu ya Watu
Jumuiya ya Afrika Mashariki sasa ina mataifa 7 na idadi ya watu zaidi ya milioni 312, ikiwa ni zaidi ya 20% ya watu wa Afrika. Umoja huu ni chachu ya maendeleo yetu.
#EACat25...
Amesema anasikitishwa sana na mauaji na utekaji. Swali ni alijiuliza, kama ni kweli ilikuwaje akaurudisha kwa kumteua mtu mwenye tuhuma za kuondoa haki za watu kuishi? Mtu ambaye taifa kubwa lenye...
Katika miaka na siku za hivi karibuni Taifa letu limekumbwa na matukio ya aibu ya utekaji, mauaji ya kikatili , ulawiti na matendo mengine ya hovyo sana!
Na katika matukio mengi ya hovyo...
WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR WAFIKA KASKAZINI UNGUJA, WAKAGUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA
Wabunge Wanawake Zanzibar wakiwemo Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum wameendelea na ziara yao ya...
Leo, ilikuwa siku ya kusomwa uamuzi wa kesi ya Habeas Corpus inayomhusu Mdude Mpaluka Nyagali dhidi ya RCO Songwe na wenzake wawili.
Hata hivyo, kutokana na kuingiliana kwa usikilizwaji wa kesi...
Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo...
Wakati wa mapambano ya kutafuta haki, unatakiwa kutafuta umoja wenye nguvu na kila mwenye dhamira njema bila ya kujali ukubwa au udogo wake.
Pamoja na maneno mengi hasi na chanya, binafsi naamini...
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana
Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia
ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini...
Akizungumza kwenye moja ya mikutano ya kampeni Kigoma, mgombea urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Anna Mghwira amesema, anawashangaa Uhamiaji leo kuanza...
29 November 2024
Makao makuu ya EAC
Arusha, Tanzania
Rais Yoweri Kaguta Museveni asema mbali ya kuadhimisha miaka 25 ya kufufuliwa EAC hapo mwaka 1999
https://m.youtube.com/watch?v=V3Uim1f150s...
Rais Yoweri Museveni akitoa somo zito la historia Novemba 29, 2024.
Katika hotuba yake ya kihistoria, Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, jana tarehe 29 Novemba, 2024 katika kusherehekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.