Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wakuu, Kwenye mkutano na wananchi Kigoma Novemba 29, 2024 Zitto amesema, haya ndio maelekezo ya kamati ya jimbo kuwa; "Mitaa yote 67 ambayo CCM wameipora tunakwenda mahakamani. Tunafungu akesi...
4 Reactions
16 Replies
718 Views
Mimi ni Mtanzania ila nimeumizwa sana na hiki kilichofanyika Serikali za Mitaa. Inawezekana vipi ukatumia mabilioni ya pesa kwenye taifa masikini ili tu ufanye uchaguzi wa kiini macho? Kwanini...
6 Reactions
42 Replies
1K Views
Huyu bwana anadai Kwa kunywa chake kuenguliwa licha ya kukata rufaa lakini jina lake lilirejeshwa kimya kimya na Rufaa ya Wilayani japo hakutaarifiwa. Alikuta jina lake siku ya kupiga kura na...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Nawaza tu Uchaguzi huu CCM atapata 95% CDM itapata 2% CUF itapata 1% ACT itapata 2% Kwa mantiki hiyo CCM itashinda kwa kishindo kikubwa. Sababu ziko wazi za kimtaji anzia. Sababu za kushindwa...
1 Reactions
23 Replies
514 Views
hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa...
2 Reactions
76 Replies
2K Views
Kila mmoja ameshuhudia jinsi uchaguzi wa Serikali za mitaa ulivyoharibiwa na taasisi za usimamizi. Ni dhahiri kulifanyika maandalizi ya kutosha toka mwanzo kuuharibu uchaguzi huu, ndiyo maana...
1 Reactions
2 Replies
213 Views
Wakuu, Askofu Mkuu Jimbo la Dar na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania, Juda Thadeus Ruwa'ichi anatoa tamko sasa hivi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, Katika...
27 Reactions
233 Replies
8K Views
Najiuliza taasisi tajiri kama hii fedha zake zinekwenda wapi? Tena muda mfupi tangu uongozi mpya iingie madarakani? Jamani!
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Mtama Anderson Msumba leo Novemba 29,2024 ametangaza matokeo ya jumla ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu katika halmashauri...
0 Reactions
3 Replies
259 Views
Kada wa Chama cha Mapinduzi aliyefahamika kwa jina la Justine Kiatu, anadaiwa kujiua baada ya mgombea wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rajabu Lupanda kutangazwa mshindi wa nafasi ya...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Kongamano la miaka 25 ya Jumuiya ya Africa Mashariki linaanza Leo jijini Arusha chini ya mwenyekiti wake Rais wa Sudan Kusini Wanaharakati wa Kimataifa wako Arusha kuhoji kiongozi wa Upinzani wa...
2 Reactions
30 Replies
985 Views
Kwa zaidi au karibu asilimia 90 ya wananchama na Viongozi wote wanaoondoka CHADEMA hurusha lawama nyingi kwa Mwenyekiti wa chama hicho anayemaliza muda wake Bw Freeman Mbowe. Wakati mmoja...
7 Reactions
90 Replies
4K Views
Mimi na familia yangu tulihamia CCM baada ya kushindwa kuvumilia mienendo ya Mwenyekiti wa sasa wa CHADEMA ngazi ya Taifa. Lakini pia, Ikumbukwe sisi Diaspora kwa muda mrefu sana tumekuwa tukiipa...
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Wakuu, Uzi huu ni maalum kwaajili ya maoni ya Waangalizi wa Uchaguzi pamoja ma Wananchi juu mwenendo mzima wa zoezi la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa baada ya Matokeo kutangazwa. Kupata taarifa...
1 Reactions
5 Replies
518 Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kuhusu Tanzania yetu zinazokwenda kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa", kuzungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na...
7 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimeibuka na ushindi wa asilimia 99.7 katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa kuwachagua wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji na wajumbe. Katibu...
0 Reactions
1 Replies
243 Views
Wakuu, Huko Mbezi Luis Jeshi La Polisi limetumia mabomu ya machozi kutawanyisha wana CHADEMA waliokuwa wanadai kuwa Mtendaji amemtangaza mgombea wa CCM kama mshindi badala ya mgombea wa CHADEMA...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Hit the ground running ni msamiati wa kijeshi ambao watu wengine imeonekana kwamba wameshindwa kuelewa maana yake. Ina maana mwanajeshi anaposhuka na parachuti,anapokaribia ardhini,upepo utakuwa...
0 Reactions
2 Replies
236 Views
Pongezi kwa Wananchi wa Mkoa wa Simiyu kwa Ushindi Mkubwa wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kinapenda kutoa pongezi za...
1 Reactions
6 Replies
289 Views
Leo siku ya Jumatatu kuanzia saa nne asubuhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda ataongea na waandishi wa habari kutangaza listi ya wauzaji na watumiaji wa madawa ya kulevya kwa mara ya...
69 Reactions
3K Replies
301K Views
Back
Top Bottom