Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wabunge wa Umoja wa Wanawake (UWT) Zanzibar (Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum) tarehe 28 Novemba, 2024 wameanza ziara rasmi kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Poleni kwa uchaguzi walioshidwa, na hongereni, kwa washindi . Ukiwa mwanasiasa ni muhimu sana uwe smart na creative sana katika kufanya mamuzi sahihi na wakati sahihi. Lengo la kuwa mwasiasa...
3 Reactions
15 Replies
474 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akishiriki Mjadala wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), leo tarehe 29 Novemba, 2024...
1 Reactions
4 Replies
325 Views
Wenyeviti na wajumbe wote wa serikali za mitaa wametakiwa kuweka tofauti zao za kisiasa pembeni na badala yake wahamasishe na kuelimisha umma kushiriki katika shughuli za maendeleo. Akitoa rai...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Sasa ni rasmi kwamba Mifumo ya Uchaguzi Tanzania imeparalysis. Mfano: CCM ni chama kinachotawala( Chama cha Mapinduzi) Mchengerwa ni Mpiga kura wa CCM, Mwanachama wa CCM na Mbunge wa CCM...
1 Reactions
4 Replies
322 Views
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki...
18 Reactions
537 Replies
70K Views
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema kuwa kwa taarifa alizonazo, CCM ina makada sita waliofanyiwa vitendo...
1 Reactions
24 Replies
968 Views
Wakuu, Tumeona ni chama kimoja tu ndio kilikuwa na sintofahamu kidogo kutoka kwao, kwahiyo hapa alikuwa anamaanisha ushindani ulikuwa kwati ya wao na CHADEMA pekee? ==== Katika mkutano wake...
5 Reactions
20 Replies
584 Views
VIONGOZI WALIOCHAGULIWA WAKATATUE CHANGAMOTO KWENYE MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI VYAO. Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Waandishi wa Habari...
0 Reactions
2 Replies
202 Views
VYAMA 14 vya siasa vimesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana ulikuwa huru na haki. Aidha vyama hivyo vimeipongeza serikali chini ya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan, kwa maandalizi...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Madai ya Katiba Mpya yalikuwa yamepoozwa 4Rs ambazo baadaye ilionekana si suala la dhati. Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaongeza mori wa madai ya Katiba mpya kabla ya 2025. Kwa...
1 Reactions
4 Replies
374 Views
Wana Jamvi salama. Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Malalamiko ni mengi kwenye mchakato wa uchaguzi kuanzi maandalizi hadi uchaguzi wenyewe. Kila mahali ni malalamiko tu kuwa kulikuwa na ukiukaji na wizi wa kura. Je, Viongozi wa Serikali za Mitaa...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
TAARIFA KWA UMMA UCHAGUZI UBATILISHWE NA KUITISHWA UPYA TAARIFA YA AWALI YA KAMATI YA UONGOZI TAIFA YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI 2024...
2 Reactions
17 Replies
920 Views
KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe Akieleza kuwa Chama chake...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Leo Novemba 29, 2024 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema: Tunakemea na kulaani matukio ya mauaji yaliyotokea kwa vyama vyote...
0 Reactions
13 Replies
740 Views
Wadau mtaniwia radhi kidogo kuwa nimepitwa na wakati. Niko nje ya nchi kwa muda sasa, na chanzo kikubwa cha habari ninachotegemea na kukiamini ni hapa JF, lakini sijaona habari yoyote ya...
12 Reactions
95 Replies
5K Views
Dr. Yahaya Ismail Nawanda (46), Former Simiyu RC, the alleged perpetrator of anal rape against the SAUT female student called Tumsime Mathias Ngemela Ms. Tumsime Mathias Ngemela(21), the victim...
28 Reactions
122 Replies
9K Views
Mchungaji Peter Msigwa aliyekihama Chama Cha Chadema hivi karibuni na kuhamia Chama Cha Mapinduzi CCM, wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa, akiwa mstari wa mbele kuipigia chapuo CCM huko...
1 Reactions
12 Replies
532 Views
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mango akiwa ziarani Mwanza amesema hataki kusikia tena Barabara zikifungwa kwa masaa mengi ili apite, huku akisema dakika 10 zinatosha ili Wananchi waendelee na...
37 Reactions
151 Replies
12K Views
Back
Top Bottom